CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Mko Baa gani?? 😳Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto
Ghafla umeme umekatika wakati tunalalamika majamaa yakaanza kutuambia tumpe muda mr kipara anatuletea umeme wa uhakika wa upepo tukabisha tukaambiwa tupende tusipende sisi ni viroboto tu na kipara ni next president
Ila kiukweli umeme ukikatika noise pollution ya maredio inapungua sanA
Big up j makamba kazi iendelee
Anasema yupo Bar hivyo ujumbe katumia lugha za huko huko.Sijui hata umeandika nini hapa
Chezea double kick wewe!Sijui hata umeandika nini hapa
Tulia weee dogoooo sisi ndo wataalamu, j makamba nimeeleweshwa na hayo mafisadi yanakunywa wine kwamba ndiye next president mbaya zaidi majamaa yamevaa jezi za utopolo fcSijui hata umeandika nini hapa
Watu wawili ndio wamekufanya ujue tabata makamba anakubalika?Tulia weee dogoooo sisi ndo wataalamu, j makamba nimeeleweshwa na hayo mafisadi yanakunywa wine kwamba ndiye next president mbaya zaidi majamaa yamevaa jezi za utopolo fc
Hata kama tunalalamika kukatika umeme kuliko hata viuno vya machangudoa vinavyokatika tumpongeze mr kipara maana umeme ukikatika makellele ya ma subwoofer yapungua
Yes uko tabata shemeji kumetulia sasa hivi narudi kwenye stoo yangu najua sitakuta makelele ya amapiano ya next chumba,hail to the next presidentWatu wawili ndio wamekufanya ujue tabata makamba anakubalika?
Hamia North Korea.Yes uko tabata shemeji kumetulia sasa hivi narudi kwenye stoo yangu najua sitakuta makelele ya amapiano ya next chumba,hail to the next president
Tulia dogo tabata imetulia tuliii hakuna kelele za amapiano kama alishindwa akiwa waziri wa mazingira sasa hivi anzima umeme utulivu upokwa mistari hii tayari double kick ishapanda kichwani.
Alishindwa akiwa waziri wa mazingira acha azime umeme kidogo ma subwoofer na amapiano zipumzikeHamia North Korea.
Ungekua una saloon, butcher, unachomelea mageti au unauza ice cream na barafu usingeongea hayo
Hahahahhah unaenda kupumzika stoo sioYes uko tabata shemeji kumetulia sasa hivi narudi kwenye stoo yangu najua sitakuta makelele ya amapiano ya next chumba,hail to the next president
Maisha ya kishwaini yamerudi mzee baba dahNa ukikatika Kuna makelele mengine kama haya
View attachment 2049519