January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Lady Jaydee aka Anaconda amemshukia January Makamba live mara baada ya mheshimwa huyo kuandika post inayo husu kupromte wamamuziki na wasanii wa Tanzania kupitia twitter yake. Hebu cheki mambo yalivyo kuwa.

Screen+Shot+2013-11-24+at+19.13.05.png

Screen+Shot+2013-11-24+at+19.12.02.png
 
Nakushukuru sana JideJaydee!!!!!!

Natumai "jacks of all trades while mastering none" wamekuelewa!!!!!!!!


Eti ana akili sana sijui potential; time will tell!!!!!
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kwa mujibu wa katiba japo namsapoti anakonda
 
Lady Jay D's Twitter account is not verified? What is she waiting for?
 
Halafu ndio wanasema huyu Januari anafaa kuwa RAISI wa Tanzania
 
huyu january ni mnafiki sana, huo ushauri kwanini autoe leo?
Unafiki ni kitu kibaya. January anajua fika kuwa ni nani anaongoza kuleta wasanii wa nje.

Pengine anaweza akawa ana nia nzuri lakini kwanini hayasemi siku zote na ni show nyingi zimepita hila anasema baada ya show ya psquare?

Ni wazi statement yake lazima hizue maswali mengi.
 
Makavu live!!Jde nampendaje miye

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom