January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

Jide yuko sahihi sana. Nampenda alivyopata ujasiri wa kumpa vipande vyake fasta.
Haya majinga yaliyokuzwa kifisadi yakiachwa achwa yanajiona yako sahihi.
 
Jide yuko sahihi sana. Nampenda alivyopata ujasiri wa kumpa vipande vyake fasta.
Haya majinga yaliyokuzwa kifisadi yakiachwa achwa yanajiona yako sahihi.

Tunahitaji wasanii kariba ya jide
 
Safi sana...ila hajachelewa, anaweza bado akawashauri hao wazee wa "fursa" jinsi ya kuukuza muziki wetu.
 
Chea olitician always makes comments on issues which have no benefits to the poor community!
 
Cheap politician always makes comments on issues which have no benefits to the poor community!
 
Vyombo vya habari vinawa-promote wasanii wa Tanzania mno kwa kuandaa matamasha ya ndani, kusaidia uzinduzi wa albamu zao, kupiga na kuonyesha nyimbo zao kwenye TV ndio maana wakawa wanajulikana na kupata mialiko hata nje ya mipaka ya Tanzania....sasa sijui huyu Waziri wa twitter na facebook alitaka vyombo vya habari viwe mapromota kabisa kuwatafutia shoo za nje,....aache kukurupuka. Nani kamuambia kunamashindano ya kuleta wasanii wa nje kama sio hisia zake tu za unafiki zinazoongozwa na akili ndogo. Shoo ile ilikuwa na wasanii wa Tanzania wanne, Je, huku si kuwa-promote wasanii wetu ku-share jukwaa moja na P Square ambao ni wasanii ambao sasa wanahadhi ya Kimataifa.

na bahati mbaya natumia simu nw ila chukua like hiyo mkuu!
 
msanii unatakiwa kutumia muda wako kutengeneza marafiki na si maadui...wanaojua hilo ndio tunawaona hawana muda hata wa kujibu magazeti ya udaku...

niliangalia kanye anahojiwa hasira anayoonyesha kwa mtangazaji na makampuni ilikuwa wazi kuwa anaelekea kuporomoka...utashinana na Nike
 
Tuwe wakweli katika hili Jide ana personal problems nyingi sana
 
Back
Top Bottom