Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jide yuko sahihi sana. Nampenda alivyopata ujasiri wa kumpa vipande vyake fasta.
Haya majinga yaliyokuzwa kifisadi yakiachwa achwa yanajiona yako sahihi.
Baada ya hapo Makamba alijibu vipi?
Makamba ni nani hapa tanzania?? Mwenye kumjua anihabarishe tafadhali,
Hakujibu
Lady Jay D's Twitter account is not verified? What is she waiting for?
Safi sana...ila hajachelewa, anaweza bado akawashauri hao wazee wa "fursa" jinsi ya kuukuza muziki wetu.
hata simuelewagi saa zingine...........
Hakujibu
Vyombo vya habari vinawa-promote wasanii wa Tanzania mno kwa kuandaa matamasha ya ndani, kusaidia uzinduzi wa albamu zao, kupiga na kuonyesha nyimbo zao kwenye TV ndio maana wakawa wanajulikana na kupata mialiko hata nje ya mipaka ya Tanzania....sasa sijui huyu Waziri wa twitter na facebook alitaka vyombo vya habari viwe mapromota kabisa kuwatafutia shoo za nje,....aache kukurupuka. Nani kamuambia kunamashindano ya kuleta wasanii wa nje kama sio hisia zake tu za unafiki zinazoongozwa na akili ndogo. Shoo ile ilikuwa na wasanii wa Tanzania wanne, Je, huku si kuwa-promote wasanii wetu ku-share jukwaa moja na P Square ambao ni wasanii ambao sasa wanahadhi ya Kimataifa.