January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

Toka 2000 ulishawahi kusikia jide kagombana na mtu? Sasa kachoka kavumilia sana mwache aseme bhna atoe duku duku
 
Tuwe wakweli katika hili Jide ana personal problems nyingi sana

Yeye alitukanwa na nani wakati anawekwa mjini na Ruge?
Kwann leo kwsb eti yeye ana beef na jamaa anataka kila mtu awe mfuasi wake!
 
Back
Top Bottom