January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

Nakushukuru sana JideJaydee!!!!!!

Natumai "jacks of all trades while mastering none" wamekuelewa!!!!!!!!


Eti ana akili sana sijui potential; time will tell!!!!!
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kwa mujibu wa katiba japo namsapoti anakonda
 
Lady Jay D's Twitter account is not verified? What is she waiting for?
 
Halafu ndio wanasema huyu Januari anafaa kuwa RAISI wa Tanzania
 
huyu january ni mnafiki sana, huo ushauri kwanini autoe leo?
Unafiki ni kitu kibaya. January anajua fika kuwa ni nani anaongoza kuleta wasanii wa nje.

Pengine anaweza akawa ana nia nzuri lakini kwanini hayasemi siku zote na ni show nyingi zimepita hila anasema baada ya show ya psquare?

Ni wazi statement yake lazima hizue maswali mengi.
 
Makavu live!!Jde nampendaje miye

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…