January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

makamba nawe umezidi kufuatilia masuala mengine yasio na msingi, kuna matatizo kibao kwenye wizara yako unashindwa kufanyia kazi muda wote upo kwenye twitter na facebook, sasa waumbuliwa hata na JD. badilika ili ulete tija kwenye wizara yako.
 
siku hizi si kukaa kimya dawa ya moto moto wao wanaongea kwanini yeye asiongee zamani alikuwa haongei wanampanda kichwani funguka commando nakusapport
 
jay dee wewe mkali sana. tunataka wasanii kama wewe. makamba anapelekeshwa tuu na clouds
 
Vyombo vya habari vinawa-promote wasanii wa Tanzania mno kwa kuandaa matamasha ya ndani, kusaidia uzinduzi wa albamu zao, kupiga na kuonyesha nyimbo zao kwenye TV ndio maana wakawa wanajulikana na kupata mialiko hata nje ya mipaka ya Tanzania....sasa sijui huyu Waziri wa twitter na facebook alitaka vyombo vya habari viwe mapromota kabisa kuwatafutia shoo za nje,....aache kukurupuka. Nani kamuambia kunamashindano ya kuleta wasanii wa nje kama sio hisia zake tu za unafiki zinazoongozwa na akili ndogo. Shoo ile ilikuwa na wasanii wa Tanzania wanne, Je, huku si kuwa-promote wasanii wetu ku-share jukwaa moja na P Square ambao ni wasanii ambao sasa wanahadhi ya Kimataifa.
 
Makamba ni nani hapa tanzania?? Mwenye kumjua anihabarishe tafadhali,

Ni mtoto wa katibu mkuu wa chama kimoja aliyekizamisha shimoni-bahati yao msomali anajitahidi kukinasua!!!
 
Makamba ni nani hapa tanzania?? Mwenye kumjua anihabarishe tafadhali,

ni mtoto wa aliewahi kuwa mkuu wa mkoa wa dar luteni sijui kanali yusuph makamba...sasa hivi huyo mtoto ni naibu waziri ni mmoja kati ya vijana wenye ukwasi wa kutisha hapa bongo akiwa anafukuzana na muuza unga sio unga wa ugali hapana ule unga unaotumiwa zaidi kinondoni bwana rizione kikwete

#kunjani kuti
 
ushauri wa makamba ulikuwa mzuri tu hata Jide pia ameongea vizuri tu
Ukweli ni kwamba kama kweli mtizamo wake Makamba ndo huo basi amechelewa sana kutoa ushauri huo kwa sababu wazee wa fulsa walishaharibu tokea kitambo na mkuu hakuwa ameliona hili wala kulitolea ufafanuzi kama alivyofanya baada ya kuona Jide amepita mulemule
 
Well said jde ...kna ruge jamaa zake wanajua kubaka fani tu na kuuza sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…