warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Nov 30, 2013 #61 Toka 2000 ulishawahi kusikia jide kagombana na mtu? Sasa kachoka kavumilia sana mwache aseme bhna atoe duku duku
Toka 2000 ulishawahi kusikia jide kagombana na mtu? Sasa kachoka kavumilia sana mwache aseme bhna atoe duku duku
Chiwata Member Joined Nov 10, 2013 Posts 32 Reaction score 1 Dec 1, 2013 #62 warumi said: Pesa zinampa jeuri Click to expand... Tatizo tofauti ya shule.....
Chiwata Member Joined Nov 10, 2013 Posts 32 Reaction score 1 Dec 1, 2013 #63 mshana jr said: Tuwe wakweli katika hili Jide ana personal problems nyingi sana Click to expand... Yeye alitukanwa na nani wakati anawekwa mjini na Ruge? Kwann leo kwsb eti yeye ana beef na jamaa anataka kila mtu awe mfuasi wake!
mshana jr said: Tuwe wakweli katika hili Jide ana personal problems nyingi sana Click to expand... Yeye alitukanwa na nani wakati anawekwa mjini na Ruge? Kwann leo kwsb eti yeye ana beef na jamaa anataka kila mtu awe mfuasi wake!