January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

We hujatumwa kumchafua
 
CCM imeshindwa inatakiwa kung'olewa madarakani
CCM haiwezi kutoka madarakani hama nc
Takwimu za vijiji kuunganishwa na umeme haina maana yoyote kama ni wanakijiji wawili au watatu wana umeme. Achana na vijiji, watu wangapi nchini huko vijijini wana umeme?
Kalemani alikua anatupiga
 
We hujatumwa kumchafua
Hakuna mtu mwenye akili timamu aanze kumchafua Makamba.

Makamba anahukumiwa na utendaji wake wa kazi na majibu yake mepesi kwenye maswali magumu yanayo husu uhai wa mwanadamu.
 
Yaani WaTz siku hizi waelewa sana,kilichobaki kichwani mwa WaTz ni maamuzi magumu tu. Huwezi kuwalevya na sifa za kitoto za mifuko. Kwani alifanya nini cha ajabu kwenye hiyo mifuko ya prastic?. Yeye alikuwa ni spiker tu ya kilichokubaliwa na baraza. Kipi cha ajabu alifanya?. Ulitegemea vurugu kwenye usitishwaji mifuko prastic?. Hata Kenya tu ilifanyika hivyo hakuna shida iliyotokea.

Kama makambo kuna sehemu alifanya vizuri angebaki kwenye wizara ya JPM.
 
Na bado

Ila pesa za January zinaliwa kizembe Sana. Hawa vijana wa kufanya spinning hamna kitu. Aajiri wengine

Acha uongo
Waulize hata boda boda watakwambia ni Makamba sio JPM
 
Promo ya kindezi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…