Maswa Yetu
Senior Member
- Mar 18, 2023
- 155
- 217
January Makamba mbunge wa jimbo la Bumbuli na waziri msitaafu uliyetimuliwa kazi na Marais wawili tofauti, kwenye awamu mbili tofauti sasa umeyatimba baada ya kujulikana hadharani kwamba ulipigwa makofi na Rais Samia!.
Iko wazi kuwa mtu hapigwi makofi kama hajakosea chochote, kwa hiyo ni wazi ulimkosea sana Rais Samia na uliwakosea sana watanzania.
Sasa ili ndoto yako ileee itimie ni lazima utoke hadharani uwaeleze watanzania kwa nini ulipigwa makofi na uwaombe radhi watanzania kwa kujutia makosa yako, kama hautaomba radhi ile ndoto yako haitatimia kamwe maana watanzania siyo wajinga hadi wachague kiongozi aliyepigwa makofi wakati viongozi ambao hawajapigwa makofi wapo.
Pia soma > Pre GE2025 - Rais Samia: Nilimpiga kikofi January leo namrudisha kwa mama