LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
ana utalenti gani kama si kumpa sifa asizo nazo?Huyu jamaa, licha ya kupigwa makofi ya kisiasa ni talented leader
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana utalenti gani kama si kumpa sifa asizo nazo?Huyu jamaa, licha ya kupigwa makofi ya kisiasa ni talented leader
HahahaMtu anayestahili kunyongwa, anapigwa kikofi Kisha anaombwa msamaha na kuambiwa pole!
Mh. Riziwani siyo mwizi na mtu safi kabisa. Sema tu uwezo wa kujenga hoja ndiyo hana kabisa yaani ni tofauti na Baba yake. Yaani hana uwezo wa kujua mazingira na chakuongea kulingana na mazingira, anahitaji kujifunza sana ili awe mwanasiasa mzuri. Achana na akija January ambao ni wezi, Dkt JK kalea familia yake ktk misingi ya uadilifu! Dkt JK ni mzalendo sana wa nchi hii.Wee unajuaje km riz1 sio mwizi?
Mh. Riziwani siyo mwizi na mtu safi kabisa. Sema tu uwezo wa kujenga hoja ndiyo hana kabisa yaani ni tofauti na Baba yake. Yaani hana uwezo wa kujua mazingira na chakuongea kulingana na mazingira, anahitaji kujifunza sana ili awe mwanasiasa mzuri. Achana na akija January ambao ni wezi, Dkt JK kalea familia yake ktk misingi ya uadilifu! Dkt JK ni mzalendo sana wa nchi hii.
Mabangi hayo 😀😀😀Dr Nchimbi 2030 - 2040
John Mnyika 2040 - 2050
Ahsanteni sana 🐼
😄😄😄😄😄😄😄 bullshitDkt JK ni mzalendo sana wa nchi hii.
🤣🤣🤣😄😄😄😄😄😄😄 bullshit
Duh 😯Mbona Shujaa alipewa tena kwa kuombwa kabisa 😂
Mnyika yuko Kwenye list Ndio sababu Mbowe alikuwa anamuogopa sana
FafanuaDuh 😯
Akiomba radhi tutajuaNataka kujua alifanya kosa gani haswa?