Pre GE2025 January Makamba ili ndoto yako itimie ni lazima uwaombe radhi watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utaratibu ulishapangwa kitambo [emoji23]
Utabadilishwa tu, mpare na Mchanga hawapewi uraisi wa nchi lichaa ya vigezo vingine, mkuu ukabila upo sanaa hapa Mhaya hawezi kupewa wenyekiti wa CCM au Ukatibu Mkuu
 
Utabadilishwa tu, mpare na Mchanga hawapewi uraisi wa nchi lichaa ya vigezo vingine, mkuu ukabila upo sanaa hapa Mhaya hawezi kupewa wenyekiti wa CCM au Ukatibu Mkuu
Mbona Shujaa alipewa tena kwa kuombwa kabisa πŸ˜‚

Mnyika yuko Kwenye list Ndio sababu Mbowe alikuwa anamuogopa sana
 
Kwahiyo we ulivyoskia kofi processor yako kwenye ubongo ikakuletea taarifa kuwa ni kweli alipigwa kofi?
 
CCM Hakuna watu zaidi ya hao hao wakina JM na yule zezeta wa Bao la mkono? Tunaambiwa mpo vizuri lakini kila siku mnawarudia wale wale tu.
 
Alipigwa makofi physically au kisiasa? Weka bayana mkuu, ila ukweli ni kwamba huyu mtoto na Nape walilelewa vibaya kimadeko hawawezi kua viongozi wa nchi kama Tanzania.
Kofi ni Kofi tu
 
Mimi Januari hajanikosea wala hana haja ya kuniombea radhi! Uzuri Januari liko njema kichwani!
 
Mtu anayestahili kunyongwa, anapigwa kikofi Kisha anaombwa msamaha na kuambiwa pole!
 
Hapo Makamba unamuonea tu.

Ingefaa umuulize Samia kwa nini alimpiga makofi Makamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…