January Makamba kuitwa Rais ajaye na ukaribu wa familia yake na Mange Kimambi kumemponza na kutumbuliwa nafasi yake ya Waziri wa Mambo ya Nje

Duuh! Inamaana walifanya uchuguzi bila waziei kufahamu..? Au walenda formally?
Kitu kilikuwa wazi kabisa.

January alipelekwa kufanyia kazi hii ripoti, ila imeonekana anaendeleza upigaji.

 
Czani kama hiyo ni sababu, kwani tenguzi/teuzi hizi ni kama sandakalawe tu, akiamua ni hivyo, sasa mfano kwenye ardhi kulikuwa kuna shida gani? Alijitahidi kiasi chake lakini yuko wapi?
Iko siku utaamini ukisikia bimkubwa akiongea mwenyewe
 
Hawa wametolewa ili wa focus na goli la mkono 2025. Hawa ndo campaign coordinators na mafundi wa njia za panya.
Nishasikia wameteuliwa huko CCM kamati ya mzee Wasira kuongeza nguvu kutengeneza ilani ya 2025 na ku engineer mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…