much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Mlitwambia niniHata kwa JPM tuliwaambia mkasema utoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlitwambia niniHata kwa JPM tuliwaambia mkasema utoto.
Nilisikia kuwaKuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Kinana ajiandae 👇👇Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Nchi ya ajabu sana hii. Mtu anajisifia kushinda uchaguzi kwa wizi? Na bado hajisikii vibaya? Kweli dunia inafika mwishoKuna kina Makala, Makonda, Ma DED wote nchi nzima hawa ndio waiba kura na hata Jiwe aliwahi kusema kama DED unalipwa na Serikali ya CCM alafu utangaze mpinzani mshindi anakulima kichwa
Wizi wa kura CCM mbona unaeleweka kabisa Mkuu wala Chama hakimtegemei kilaza kama NAPE au January. Nape alishindwa kuibia majibu kidato cha nne akala D kama zote. January nae alifutiwa mpaka matokeo hivo hana kipaji cha kuiba kura
Wazee hawaendi front, ni makada ndio wanaiba swala la kuiba kula ni collective effort sio kweli kwamba kuna watu fulani CCM ndio mabingwa wa wizi, Kina January wanaweza kufukuzwa CCM na bado Chama kikashinda.
Hii siyo sababu.Kuna uwezekano mkubwa rais Samia Suluhu Hassan ametengua iteuzi wa January Makamba kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kutokana na kuitwa rais ajaye na mashabiki zake wa kusiasa hasa kwenye mitandao yake ya kijamii
Pia mahusiano ya dada yake Mwamvita Makamba na mwanaharakati wa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi yaweza kuwa sababu nyingine ya kupigwa ngwara January kwenye nafasi yake hiyo
Rais Samia Suluhu Hassan amefanyamabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuwapiga ngwara baadhi ya mawaziri akiwa Makamba
Kabla ya utenguzi huo wa rais Julai 21, 2024 January makamba alikuwa akitumikia nafasi ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki
Uchunguzi unaonyesha kuwa Makamba kila akiposti kitu kwenye kurasa zake za kijamii wachangiaji wake wakubwa wanapenda kukomenti rais ajaye au my president au president material
Inawezakana Makamba hajawatuma washabiki wake hao kuandika hivyo au kumuita hivyo wanapokutana naye au pengine ni mbinu zake za kisiasa kuwajenga watu hao wafanye hivyo
Hata humu jukwaani Jamii Forums kuna post nyingi zilizo andikwa kuhusu January Makamba kwamba ni rais ajaye au "president material"
Mara chache Makamba alikuwa akiwaeleza mashabiki zake hao wa kisiasa kwa kukanusha kuwa urais 2025 mpaka 2030 ni wa rais aliyepo madarakani Samia kumaliza muda wake na kwamba yeye kama kufikiria kuwania nafasi hiyo ni baada ya kipindi hicho cha mwisho cha urais wa Samia
Pengine hali hiyo imemtisha rais Samia na kumuweka Makamba benchi kwanza kwenye uwaziri ili ampunguze kasi na kusahaulika kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania
Kwenye ukaribu wa dada yake Mwamvita na Mange Kimambi kuna uwezekana pengine kumemponza kutokana na kudaiwa kuwa ndiye anayempa Mange taarifa nyingi za ndani ya Serikali na ofisi ya rais
Mkuu ni mambo ya ajabu... ndio maana unaona wakati mwingine tunafanya mzaa tu sababu uki mind utapata presha tu. CCM ujinga wanaoongea mwingi sanaNchi ya ajabu sana hii. Mtu anajisifia kushinda uchaguzi kwa wizi? Na bado hajisikii vibaya? Kweli dunia inafika mwisho
Kuna kina Makala, Makonda, Ma DED wote nchi nzima hawa ndio waiba kura na hata Jiwe aliwahi kusema kama DED unalipwa na Serikali ya CCM alafu utangaze mpinzani mshindi anakulima kichwa
Wizi wa kura CCM mbona unaeleweka kabisa Mkuu wala Chama hakimtegemei kilaza kama NAPE au January. Nape alishindwa kuibia majibu kidato cha nne akala D kama zote. January nae alifutiwa mpaka matokeo hivo hana kipaji cha kuiba kura
Wazee hawaendi front, ni makada ndio wanaiba swala la kuiba kula ni collective effort sio kweli kwamba kuna watu fulani CCM ndio mabingwa wa wizi, Kina January wanaweza kufukuzwa CCM na bado Chama kikashinda.
Nape/ Makamba makampeni meneja. goli la mkono .this time sidhani mama atakubali dhambi hiyo ninamuona kuwa ana hofu ya Mungu. si ya kinafiki
Benchi la ufundi la 2020 walikuwepo hao watu wako?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hata uDC !!Januari alikuwa hafai tu kuwa waziri. Alipata uwaziri kwa sababu ya jina la baba yake, lakini execution ya utendaji wake ni bure kabisa. Hata kwenye wizara ya nishati aliondolewa kwa sababu hiyo hiyo.
Arudi kwa Mganga tunguli na chale zimeanza kufifia.Otatenaneiiiiiii
Migambo ya Lumumba au Mtumba Dodoma?Migambo inaruka na kukanyagana inaruka kinyama yote imeinama..hii anachekaaa..
Ujue kura za rais nazo zinafaida kwenye chama zikiwa nyingi hata kama hawakushinda ruzuki inaongezekaRais Samia Suluhu Hassan mm ningekuwa mpinzani nisenge simamisha mgombea Cha msingi ni kuongeza nguvu kupata wabunge wengi sana kwa Urais upinzani bado
Ubaya ubwelaSawa sana kwa Kutumbuliwa
Duuh! Inamaana walifanya uchunguzi bila waziri kufahamu..? Au wailenda formally?Kuna jopo la mabalozi wa zamani kina Balozi Ombeni Sefue na Peter Kallaghe lilitumwa kufanya uchunguzi Wizara ya Mambo ya Nje, likakuta madudu mengi sana.