Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #21
Ndivyo ilivyokuwa hutaki unaacha. Wenzenu wana nguvu mno serikalini.Hata mie limenifikirisha eti:
"Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka."
sasa na sisi wengine tutamfikia vipi rais maana nina jambo langu...Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Lisu ana kipi kipya hadi macho yaelekezwe kwake na Watanzania?Macho ya waTZ kwa sasa yapo kwa Tundu Lissu✅
Hii ni tetesi na haiwezi kutokea kamwe Samia siyo mjinga hawezi kurudia makosa ya JPM na kama ni kweli atamueka hapo basi ujue "mamboo yameshaharibika sanaaaa"Akimpa hiyo nafasi atakuwa amejichimbia kuburi lake mwenyewe
Watumie makada wa chama ngazi ya mkoa na wilaya ulipo.sasa na sisi wengine tutamfikia vipi rais maana nina jambo langu...
japo katibu tarafa basi..
Samia amejenga uadui mkubwa na watu wa Tanga sijui wamedhulumiana nini,ukiaanzia former DGSI,Ummy Mwalimu na January.Hata mie limenifikirisha eti:
"Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka."
January siyo kijana 50+ na hata kaa awe Rais na huyo RK wakeJanuary ndio Rais wa baadae baada ya Ridhiwani kikwete, hiyo nafasi inamfaa ili kukijenga chama zaidi.... Acha tuwape nchi vijana pia baada ya Samia akimaliza....povu Ruksa.
Kumeoza kabisa kwa vile mambo yanakwenda kama mchwa vile chini kwa chini. Na wakimleta January tunampiga kama ngoma kwani huku kanda ya ziwa hatucheki na kima.Kwani kushaharibika?
Mkuu mimi nipo jikoni najua kuliko wewe.....ahahah,January siyo kijana 50+ na hata kaa awe Rais na huyo RK wake
Kwani JPM aliwahi kurudia kosa gani?N
Hii ni tetesi na haiwezi kutokea kamwe Samia siyo mjinga hawezi kurudia makosa ya JPM na kama ni kweli atamueka hapo basi ujue "mamboo yameshaharibika sanaaaa"
Tangu kabendera aachwe aropoke sasa kila mtu ataropokaHabari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za chama ili January Makamba awe Makamu mwenyekiti wa Chama bara.
Suala hili litawekwa wazi mapema mwezi February.
Yani huwezi kuamini. Sijui walitaka waziri yupi atumbuliwe.eti,familia iliyaka rais amrudishie uwaziri ...kwelikabisa?
Kuna uzi humu imeeleza kinaga ubaga hilo suala kama siyo Mzee wa Migebuka leo tungekuwa tunazungumza jambo lingine kabisaaaa kumbuka hao ndiyo waliomponza Daa Zuu kutoka kwenye kipaza hadi kufichwa uko katika Wing ya PM.Samia amejenga uadui mkubwa na watu wa Tanga sijui wamedhulumiana nini,ukiaanzia former DGSI,Ummy Mwalimu na January.
Mimi siropoki. Mwezi wa pili si mbali.Tangu kabendera aachwe aropoke sasa kila mtu ataropoka
"Nepotism is a big enemy of development"Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.