January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr.
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Mungu alikuwa na mpango nao, na hatimaye wamejikuta bongo.
.
 
Tanzania ndio maana tulichukuliwa utumwa na Waarabu kwasababu ya ujinga wetu na uoga uliopindukia.

Unakuta Kaarabu kamekondeana na gobole la risasi moja kamesomba Watu (Watanzania)karibia 500 kanawapeleka kuwauza.

Hao uliowataja ni Majasiri wachache ndio maana tunawashangaa.
 
Wemewahi kugundua jambo gani lenye tija kwa wanadamu?
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Kwanini heading haikuwa directly ya kumpamba Makamba?

Kwanini uchanganye na wengine au unadhani bila ya kuwataja wana cdm uzi wako hauwezi kupata wachangiaji?
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Toa makamba huyo, ana kipi cha maana
 
Umekoroka kwa kumuweka huyu msanii Makamba. Makamba ni kiongozi mbovu kuliko. Kwanza haeleweki msimamo wake hata kidogo. Ana asili ya ufisadi na upigaji. Ni wale watu wenye janja za mijini. Huyu na Zitto ni kama pacha
 
Mjinga Sana nikajua andiko la maana, Nono kabisa
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
 
Kuna wengine umewaweka apo ili kupata supoti ya kumsifia ulie msifia.....! Bata awezi kuzaa na kuku...

Tuambie uyo JR amefanya lipi la msingi njii hii.....! Mwambie kwanza amalizie bwawa letu
Wewe genius umetoka wapi hii nchi iliyojaa vilaza? Ndugu yangu sikukebehi ila nakuambia kweli. Huyu lengo lake ni kumpigia Makamba debe kama unavyosema. Infact Makamba ameshaanza rasmi kampeni na atafisadi sana ili kupata fedha za kuhonga. Tusishangae iwapo hapa kutakuwa na nyuzi za kumsifia kila baada ya lisaa limoja. TV na Redio karibu zote zitaanza kuimba nyimbo za kumsifia. Anautafuta urais kwa nguvu zote na hii ni hatari mno.
 
Back
Top Bottom