Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.
Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr.