January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

Wewe genius umetoka wapi hii nchi iliyojaa vilaza? Ndugu yangu sikukebehi ila nakuambia kweli. Huyu lengo lake ni kumpigia Makamba debe kama unavyosema. Infact Makamba ameshaanza rasmi kampeni na atafisadi sana ili kupata fedha za kuhonga. Tusishangae iwapo hapa kutakuwa na nyuzi za kumsifia kila baada ya lisaa limoja. TV na Redio karibu zote zitaanza kuimba nyimbo za kumsifia. Anautafuta urais kwa nguvu zote na hii ni hatari mno.
Baadae ya vifo vya Mh Mkapa baadae Magufuri, Nchii hii imebaki ya waimba ngonjera tuuu, sasa Kitu zima linaleta uzi kumsifia mtu. Sasa hiyo makamba si amuongoze hiyo anaye msifia, au ampe dada yake awe shemeji yake
 
Tanzania ndio maana tulichukuliwa utumwa na Waarabu kwasababu ya ujinga wetu na uoga uliopindukia.

Unakuta Kaarabu kamekondeana na gobole la risasi moja kamesomba Watu (Watanzania)karibia 500 kanawapeleka kuwauza.

Hao uliowataja ni Majasiri wachache ndio maana tunawashangaa.
Kamekondeana huku kanaburuza msafara wa Masukuma manono yameshiba ugali kiasi kwamba wakiamua kidole tu kinamdhibiti aliyekondeana!
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr.
Ya kutengenezewa!!! Au yake originale?!!!
 
Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr.
Weka hapa clip ya hiyo hotuba basi
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr.

Mkuu ID Sexless imedukuliwa? Marope? 😠!
 
Hapana. Umekosea. Mm siyo marope, wala sina unasaba ama uhusiano na marope.

Hapana mkuu sijakufananisha au hata kukuwekea ukaribu huo mkuu.

Ila najiuliza kwamba Marope, kwenye daraja moja na kina Lissu na Assad?

Ndiyo maana nikahitimisha kwa kujiuliza: "au labda ni udukuzi?"

Si wajua kuna na akina Edward Snowden mitandaoni?
 
Vipi kuhusu Dkt.Slaa?? Je alifaa kuwa padre wa katoliki?
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr.
Wale Bongo lala wakiona Nyuzi kama hii wananuna
 
Hapana mkuu sijakufananisha au hata kukuwekea ukaribu huo mkuu.

Ila najiuliza kwamba Marope, kwenye daraja moja na kina Lissu na Assad?

Ndiyo maana nikahitimisha kwa kujiuliza: "au labda ni udukuzi?"

Si wajua kuna na akina Edward Snowden mitandaoni?
Alikuwa anataka uzi unoge.
 
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga.

Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.

Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr.
January hapo anafanya nini?
 
Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr.

Uwezo wa January ni kwenye kurubuni kwa Ndimi tamu kama walivyo matapeli wote duniani full stop, rejea majibu yake ya;

1. Kwa nn awamu hii umeme unakatika zaidi tofauti na awamu ya Hayati Rais Magufuli ambapo alijibu kitapeli kuwa wakati ule mitambo haikuwa inafanyiwa Maintanance na ss inafanyiwa ndio maana umeme unakata, whats the rabbish and non sense answer?

2. Rejea maelezo yake kuwa serikali itaanza kununua bulk ya fuel ili kupunguza gharama za mafuta hayo, je bei ya mafuta imeshuka kutoka ile ya 2420 ya kipindi alichoeleza haya?

Kwa kifupi JM ni mbabaishaji na pale yupo kimaslahi purposely kwa ajili ya manufaa ya wachache na waliomtia madarakani ndio wenye kunufaika na michongo ya Makamba, kumweka kwenye hiyo list ni kuwaondolea uhalali kina Prof Assad ku suite kwenye hicho unachomaanisha or else umemweka January ili kupima upepo.
 
Laana ya watu wanaotupa samaki na nyama za watu kuoza kutokana na kukatika umeme,hazitamuacha salama January.
 
Sijapata jibu sahihi kwa nini ka kikundi kadogo ka vijana ndani ya CCM wanamuogopa sana January Makamba? wakumbuke alikuwa no 3 wakati wa presidential run out pale Dodoma .. kama kamati kuu ya CCM ingeamua top three candidate wapigiwe kura ili kinara apatikane basi nafikiri sasa hivi Makamba angekuwa Rais wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom