Mungu alikuwa na mpango nao, na hatimaye wamejikuta bongo.Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.
Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.

Kwanini heading haikuwa directly ya kumpamba Makamba?Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.
Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Siyo kwa Makamba mchumia tumboMungu alikuwa na mpango nao , na hatimaye wamejikuta bongo
.
Wewe kwako ni kipi muhimu kukigundua?Wemewahi kugundua jambo gani lenye tija kwa wanadamu?
Muanzisha uzi alijua kabisa kuwa kama angeanzisha uzi wa kumsifia Makamba directly usingepata wachangiaji.Naomba makamba jr unajibeba kwenye mbeleko ya majina ya watu wa watu
Toa makamba huyo, ana kipi cha maanaWatu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.
Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Jamaa yupo kazini kumnadi Makamba jr kwa uchaguzi ujao
Umekoroka kwa kumuweka huyu msanii Makamba. Makamba ni kiongozi mbovu kuliko. Kwanza haeleweki msimamo wake hata kidogo. Ana asili ya ufisadi na upigaji. Ni wale watu wenye janja za mijini. Huyu na Zitto ni kama pachaWatu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.
Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini.
Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizinduakkk kampeni za kuomba ridhaa (kura za maoni) ya kugombea urais mwaka 2015 ndanj ya chama chake.
Alitoa hotuba yenye mvuto, mpangilio na iliyosheheni mipango na inayotekelezeka. Hotuba yenye hadhi ua mtu anayefaa kuwa rais. Since then till now I admire Makamba Jr. Poop.
Wewe genius umetoka wapi hii nchi iliyojaa vilaza? Ndugu yangu sikukebehi ila nakuambia kweli. Huyu lengo lake ni kumpigia Makamba debe kama unavyosema. Infact Makamba ameshaanza rasmi kampeni na atafisadi sana ili kupata fedha za kuhonga. Tusishangae iwapo hapa kutakuwa na nyuzi za kumsifia kila baada ya lisaa limoja. TV na Redio karibu zote zitaanza kuimba nyimbo za kumsifia. Anautafuta urais kwa nguvu zote na hii ni hatari mno.Kuna wengine umewaweka apo ili kupata supoti ya kumsifia ulie msifia.....! Bata awezi kuzaa na kuku...
Tuambie uyo JR amefanya lipi la msingi njii hii.....! Mwambie kwanza amalizie bwawa letu
[emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We ni mufilisi