Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Kufuatia mawasilisho ya watu mbalimbali kumhusu Mheshimiwa huyu, nililazimika kufuatilia kila hatua anayokanyaga katika jukumu lake katika Wizara nyeti anayohudumu.
Pia, nilisubiri kwa hamu kubwa kuona wasilisho lake la bajeti.
Hakika ya moyo wangu, nimejiridhisha kuwa Mama hakukosea kwa huyu Mwamba.
Ni mfano wa kuigwa kwa vijana na watoto wetu katika kutumikiwa watu na taifa.
Kubwa nililoliona kwake, ni kusimamia kile anachokiamini kwa weledi wa hali yajuu.
Zaidi, ni Kijana ambaye yupo tayari kupokea na kujadiliana na watu kuhusu changamoto zinanazoikabiri jamii "Mheshimiwa anafikika na msikivu".
Anajibu hoja kwa hoja. Anawaonyesha wanaotoa tuhuma kwa kutenda kwa maharifa na uwazi.
HONGERA SAANA MHESHIMIWA KWA WASILISHO ZURI LA BAJETI YENYE MATUMAINI.
Nimtakie mafanikio mema katika kulitumikia taifa letu.