January Makamba mnyonge mnyongene, haki yake mpeni

Makamba na Mawaziri wengine wanafanya vizuri..

Ila simuelewi Waziri wa Ardhi yule Mabula..

Ikimpendeza Rais amuweke pembeni mojawapo ya Waziri Pindi Chana au Anjelina Mabula harafu Kwenye hizo Wizara amhamishie Doto Biteko then amteue Prof.Muhongo kwenye wizara ya Madini..

Wanaweza fanya partnership nzuri na Makamba maana Hawa Wana exposure nzuri.
 
Taja jambo moja tu lililofanywa na Makamba likafanikiwa tokea awe waziri wa nishati?

Ingekuwa maendeleo ni maneno matamu matamu Tanzania ingeshaipiku Dubai kwa maendeleo
Kuna aina 3 za mafanikio, kuna short term, medium term na long term. JPM was a short term hot tempered person, umeme usikatike na ukikatika urudi hapo hapo, hata kama in a long run mitambo ingekufa, tulikuwa tunakwenda na mwendo wa afe punda mzigo ufike.

January ni mtu mkweli kuusema ukweli bila kumung'unya wala sugar coating hali halisi ya umeme ni mbaya, ana long time plans and sustainable projects, kumaliza kabisa tatizo la umeme kuwa history
P
.
 
Toka alivyo haribu Bei za mafuta Sina hamu nae

Mwanzo kbla hajawa waziri niliona anafah kuwa rais na nilimpenda Sana kwa utulivu wake Sasa alivyopata wizara kamili ndio nikamjuwa rangi yake halisi Ni mtu hasiye jali wanyonge Wala kujali maisha za watu yey Yuko radhi hata mafuta yafike elf tano na kuendekea kubaki wizara pale

Huyu mtu hafai kuwa kiongozi tutapoteana Sana Kam taifa
 
KIGOGO2014

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mshauri aagize mafuta Urusi yanapatikana kwa bei chei tupunguze gharama za mafuta nchini na ughari wa Maisha, badala ya kung'ang'ania mafuta ya Uarabuni ambyo sasa ni ghari.
Hili limeisha fanyika.
P
 
Tan
gu
Naunga mkono hoja, mimi nimeongea nae face to face, yote usemayo ni kweli tupu!


P
Alikwambia lini Mradi wa Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power utakamalika?
 
Tan

gu

Alikwambia lini Mradi wa Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power utakamalika?
Msikilize umsikie mwenyewe
Baada ya kumsikia nikafurahi kama utawaeleza na wengine umesikia nini.

Kuna baadhi ya miradi mikubwa, takes time to complete, kunapotokea uncertainties, it's hard to tell for a certain, exactly when. Hapo January Makamba amesema kitu muhimu sana sio kumaliza kujenga bwawa bali ni kwa umeme kuanza kutumika.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…