Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ungetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.Wameharibu umeme makusudi ili wapige madili.
Baba yake ulimsikia lakini alivyokuwa anamtetea mtoto wake kwa yule mwandishi wa habari mchokozi?
Wewe kenge huna akiliUngetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.
Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandiie Facebook utumbo huu
Foka kweli kweli!! 🗣️ Kile chuo ulijenga wewe na baba yako!!Anatetea ugali.
Unaweza kukuta jenereta ni la Mbowe ambaye yuko USAUngetumia akili yako ndogo uliyo nayo ya kwendea chooni usingeandika ujinga huu.
Hebu fafanua wanahujumu vipi taifa? Usiandike ujinga wa vijiweni humu kwenye jukwaa muhimu. Nenda kaandike Facebook utumbo huu
Mchakato wa manunuzi ulikuwaje?Unaweza kukuta jenereta ni la Mbowe ambaye yuko USA
Nchi ngumu hii bwasheeMchakato wa manunuzi ulikuwaje?
Kuna tofauti Kati ya mzee na Kikongwebabake mr.Kipara anakwambia nchi ni kama nyumbani kwako,uwezi kutimiza mahitaji yote ya msingi nyumbani kwako.😂😅
sio kila mzee anameneno ya hekima na busara maneno mengine ya wazee ni useless
Unapoleta tuhuma bila ya ushahidi kwa kigezo cha uhuru wako wa maoni kumbuka kuwa unaliweka hili jukwaa la JF matatani. Linaonekana ni jukwaa la tuhuma zisizo na ushahidi, kisa tu ni chuki zako zisizo na kichwa wala miguu.Natoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili.
Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma.
Wameharibu umeme makusudi ili wapige madili. Mbona hakuna uwazi juu ya jenerator lililonunuliwa toka USA?
Unapoleta tuhuma bila ya ushahidi kwa kigezo cha uhuru wako wa maoni kumbuka kuwa unaliweka hili jukwaa la JF matatani. Linaonekana ni jukwaa la tuhuma zisizo na ushahidi, kisa tu ni chuki zako zisizo na kichwa wala miguu.
Kisa tu ni ufuasi wako kwa JPM unaokufanya uwe kama kipofu wa kiakili.

Hapa JPM kaingia vipi?Unapoleta tuhuma bila ya ushahidi kwa kigezo cha uhuru wako wa maoni kumbuka kuwa unaliweka hili jukwaa la JF matatani. Linaonekana ni jukwaa la tuhuma zisizo na ushahidi, kisa tu ni chuki zako zisizo na kichwa wala miguu.

Una uhakika na hizo habari juu ya ukweli wake au unadakia tu habari za chuki ya mitandaoni na kuzifanya ni za kweli?.Hapa JPM kaingia vipi?
Mchakato wa kununua jenerator la Mw 20 unaufahamu? Tujuze. Hii ni pesa ya umma inatakiwa iwekwe wazi.
Miaka mitano ya hayati tulisahau mgao. Huu umetoka wapi?
We pimbi upo dunia ya wapi?Una uhakika na hizo habari juu ya ukweli wake au unadakia tu habari za chuki ya mitandaoni na kuzifanya ni za kweli?.
Ni sawa na ile habari ya Thuwein mdogo wake January ya kwamba analeta magenereta na meli ya MSC, upuuzi mtupu.
JPM ameshatangulia mbele za haki, huu ujinga wa kuanzisha uzi mkiwa na mawazo ya kuiponda awamu ya sita ni ya kitoto sana, hayawezi kuwasaidieni kwa namna yoyote ile.
Foka kweli kweli!! 🗣️ Kile chuo ulijenga wewe na baba yako!!
Mkuu hebu tufafanulie basi, namna wanavyohujumu😆Wewe kenge huna akili
Ulimaliza la saba?Mkuu hebu tufafanulie basi, namna wanavyohujumu😆