January Makamba na Byabato washitakiwe kwa kulihujumu taifa kwa kutengeneza mgao wa umeme. Uwazi uwekwe juu ya generator walilonunua toka USA

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Natoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili.

Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma.

Wameharibu umeme makusudi ili wapige madili. Mbona hakuna uwazi juu ya jenerator lililonunuliwa toka USA?
 
Unapoleta tuhuma bila ya ushahidi kwa kigezo cha uhuru wako wa maoni kumbuka kuwa unaliweka hili jukwaa la JF matatani. Linaonekana ni jukwaa la tuhuma zisizo na ushahidi, kisa tu ni chuki zako zisizo na kichwa wala miguu.

Kisa tu ni ufuasi wako kwa JPM unaokufanya uwe kama kipofu wa kiakili.
 
Hapa JPM kaingia vipi?
Mchakato wa kununua jenerator la Mw 20 unaufahamu? Tujuze. Hii ni pesa ya umma inatakiwa iwekwe wazi.

Miaka mitano ya hayati tulisahau mgao. Huu umetoka wapi?
 
Una uhakika na hizo habari juu ya ukweli wake au unadakia tu habari za chuki ya mitandaoni na kuzifanya ni za kweli?.

Ni sawa na ile habari ya Thuwein mdogo wake January ya kwamba analeta magenereta na meli ya MSC, upuuzi mtupu.

JPM ameshatangulia mbele za haki, huu ujinga wa kuanzisha uzi mkiwa na mawazo ya kuiponda awamu ya sita ni ya kitoto sana, hayawezi kuwasaidieni kwa namna yoyote ile.
 
We pimbi upo dunia ya wapi?
 
Back
Top Bottom