January Makamba na Byabato washitakiwe kwa kulihujumu taifa kwa kutengeneza mgao wa umeme. Uwazi uwekwe juu ya generator walilonunua toka USA

Acha makelele jombaa,hii nchi kuanzia Ikulu,watu ni wezi,nchi imeshikiliwa na mafia,kila mtu anaiba kwa uwezo wake,
Hakuna wa kuwashika hao mawaziri,
We endelea kulipa Kodi tu,
Mie nimeamua kuwa mafia,maana hii nchi inaenda kuwa kama congo,nimeona niamie SA,wanangu Bora wakasomee nje,wakiwa wakubwa,watarudi kuona nchi yao imefika wapi.
 
Mkuu mbona umekuwa mkali kama mzee makamba?
Umeanza lini kuwatetea walamba asali?🤣
Mm ni mpenda haki mkuu. Nailinda haki ya kila mtu bila kujali yuko upande gani.

Hivi unaamini kweli kuna mtu yeyote (awe waziri ama yeyote) anaweza kuamuru umeme uwe unakatwa katwa?

Kwa dunia ya utandawazi hii tungeona vimemo, clip za audio ama video, n.k za maagizo ama amri ya huyo mtu.

Tushughulike na tatizo wala tusicheze ngoma za wabaya wa waziri Makamba
 
Wapeleke,tupo nyuma yako,ushahidi si unao
 
Ninakubaliana na hoja yako 100% but ccm haiko siriaz kumaliza tatizo la umeme.
Ninaamini Muhongo angesalia pale kwa miaka 10 angepunguza sana hili tatizo.
Jamaa alikuwa na maono na alimaanisha.

1. Gas ilitelekezwa
2. Tunaweza kuvuna umeme jua
3. Tunaweza kuvuna umeme wa upepo Singida na Shinyanga
Lakini tumekomaa na maji ilhali umetuangusha miaka nenda rudi.
 
Kwenye Mahakama ya ICC au ??!
 
Hapa JPM kaingia vipi?
Mchakato wa kununua jenerator la Mw 20 unaufahamu? Tujuze. Hii ni pesa ya umma inatakiwa iwekwe wazi.

Miaka mitano ya hayati tulisahau mgao. Huu umetoka wapi?

Jana wenyewe wakawa wanagawana vibuyu vilivyojaa asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…