Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hivi vizimba vya kariakoo vina hali gani kwa joto wakuu?Kama kweli kuna zile mbinu alizosema JPM, ni aibu kwa taifa. Kila Kona ya Kariakoo majenereta yananguruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vizimba vya kariakoo vina hali gani kwa joto wakuu?Kama kweli kuna zile mbinu alizosema JPM, ni aibu kwa taifa. Kila Kona ya Kariakoo majenereta yananguruma
Acha makelele jombaa,hii nchi kuanzia Ikulu,watu ni wezi,nchi imeshikiliwa na mafia,kila mtu anaiba kwa uwezo wake,Natoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili.
Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma.
Wameharibu umeme makusudi ili wapige madili. Mbona hakuna uwazi juu ya jenerator lililonunuliwa toka USA?
Yule Mzee 😂 asipewe mic hadharan, anajiabisha Sana 🤣Foka kweli kweli!! 🗣️ Kile chuo ulijenga wewe na baba yako!!
Mm ni mpenda haki mkuu. Nailinda haki ya kila mtu bila kujali yuko upande gani.Mkuu mbona umekuwa mkali kama mzee makamba?
Umeanza lini kuwatetea walamba asali?🤣
Wapeleke,tupo nyuma yako,ushahidi si unaoNatoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili.
Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma.
Wameharibu umeme makusudi ili wapige madili. Mbona hakuna uwazi juu ya jenerator lililonunuliwa toka USA?
Ninakubaliana na hoja yako 100% but ccm haiko siriaz kumaliza tatizo la umeme.Mm ni mpenda haki mkuu. Nailinda haki ya kila mtu bila kujali yuko upande gani.
Hivi unaamini kweli kuna mtu yeyote (awe waziri ama yeyote) anaweza kuamuru umeme uwe unakatwa katwa?
Kwa dunia ya utandawazi hii tungeona vimemo, clip za audio ama video, n.k za maagizo ama amri ya huyo mtu.
Tushughulike na tatizo wala tusicheze ngoma za wabaya wa waziri Makamba
Mbona unapost mavi?Usukuma gang unakutesa Sana na bado utateseka Sana. Makamba is there to stay and jiwe is in hell devoured by the eternal fire.
Weka ushahidi,acha matusi,hapa siyo pahala pa udaku,umbeya nenda insta kwa jumalokole na mangeWe pimbi upo dunia ya wapi?
Huu ndiyo mzizi wa tatizo la umeme. Ili kutatua tatizo tuing'oe ccm madarakaniNinakubaliana na hoja yako 100% but ccm haiko siriaz kumaliza tatizo la umeme.
Yanuse kama umeyaonaMbona unapost mavi?
Pimbi wewe unayekuja na mawazo ya kipuuzi ya kuendekeza chuki badala ya kuwazia maendeleo.We pimbi upo dunia ya wapi?
Mpuuzi huyu nyuzi zake hazina mawazo yoyote ya maana zaidi ya uchawa wa JPM.Yanuse kama umeyaona
IngependezaHuu ndiyo mzizi wa tatizo la umeme. Ili kutatua tatizo tuing'oe ccm madarakani
Kwenye Mahakama ya ICC au ??!Natoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili.
Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma.
Wameharibu umeme makusudi ili wapige madili. Mbona hakuna uwazi juu ya jenerator lililonunuliwa toka USA?
Hapa JPM kaingia vipi?
Mchakato wa kununua jenerator la Mw 20 unaufahamu? Tujuze. Hii ni pesa ya umma inatakiwa iwekwe wazi.
Miaka mitano ya hayati tulisahau mgao. Huu umetoka wapi?