January Makamba na jumba bovu

January Makamba na jumba bovu

Waliomshauri asafishe uongozi wa Tanesco walimuingiza chaka sana.

Ni sawa kuingia hazina unatoa wachumi na makashier hadi self huku wewe huna utaalamu huo.
KOSA KUBWA SANA NI HILI.......SASA TUTAISOMA NAMBA BAADA YA KUWATOSA WATAALAM
 
Nimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme haukukatika na hata kama ulikatika sio kwa kiasi hiki.

Mimi sio mtaalam wa umeme ila ntatoa hoja yangu kisiasa zaidi, inajulikana wazi Makamba ni mwanasiasa kijana ambaye yuko very ambitious, sihitaji kukumbushia nafasi yake katika mbio za urais za 2015,na wengi tunaamini mbio zake za urais hazijakoma ingawa kwa miaka 5 iliyopita mambo hayakuwa marais kwake.

Amekuja mama Samia na kumrudisha uwanjani baada ya kukaa benchi mda mrefu.hii ni fursa hadhim kwake kufufua ndoto na matarajio yake. Kwa kawaida mchezaji anayetoka benchi anakuwa na nguvu mpya bila kuacha makeke mengi.

Sio rahisi mchezaji anayetoka benchi na kuona makosa mengi ya wachezaji wenzake aanze kwa kujifunga goli la makusudi kabisa ukichukulia mtu kama Makamba ni mwanasiasa aliyetoka kwenye familia ya wanasiasa wakongwe.

Naamini kabisa kinachoendelea kuhusu umeme ni kama jumba bovu lililomwangukia Makamba mara tu baada ya kuingia kama mpangaji mpya.

Nikirejea kauli yake ya kuwapa TANESCO wiki mbili na ile ya mitambo kutofanyiwa matengenezo kwa uoga wa watu,naamini kabisa kuna sababu iko nje ya uwezo wake inayosababisha umeme kukatika.

Nawasilisha
Simuamini january makamba kwa sababu ninaamini kiitikadi ni kibaraka wa wamarekani na wamagharibi. Ukiwa kibaraka unakua unategemea kupewa bakshishi. Ukiwa kibaraka wewe ni mtu mbinafsi huwezi wakilisha maslahi ya nchi.
 
Kibaraka wa marekani afu ARV unatumia za msaada wa marekani shwain
 
Tuseme kwa pamoja mama alikurupuka😅 wangemuacha Kalemani apambane na Tanesco aliimudu kwa kiwango flani!

Huyu mwanasiasa kumpa wizara inayotaka utendaji dhidi ya blaa blaah ni lazima angechemka tu
Kelemani alishafisadi tanesco
Rais Samia sio mjinga
 
Nimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme haukukatika na hata kama ulikatika sio kwa kiasi hiki.

Mimi sio mtaalam wa umeme ila ntatoa hoja yangu kisiasa zaidi, inajulikana wazi Makamba ni mwanasiasa kijana ambaye yuko very ambitious, sihitaji kukumbushia nafasi yake katika mbio za urais za 2015,na wengi tunaamini mbio zake za urais hazijakoma ingawa kwa miaka 5 iliyopita mambo hayakuwa marais kwake.

Amekuja mama Samia na kumrudisha uwanjani baada ya kukaa benchi mda mrefu.hii ni fursa hadhim kwake kufufua ndoto na matarajio yake. Kwa kawaida mchezaji anayetoka benchi anakuwa na nguvu mpya bila kuacha makeke mengi.

Sio rahisi mchezaji anayetoka benchi na kuona makosa mengi ya wachezaji wenzake aanze kwa kujifunga goli la makusudi kabisa ukichukulia mtu kama Makamba ni mwanasiasa aliyetoka kwenye familia ya wanasiasa wakongwe.

Naamini kabisa kinachoendelea kuhusu umeme ni kama jumba bovu lililomwangukia Makamba mara tu baada ya kuingia kama mpangaji mpya.

Nikirejea kauli yake ya kuwapa TANESCO wiki mbili na ile ya mitambo kutofanyiwa matengenezo kwa uoga wa watu,naamini kabisa kuna sababu iko nje ya uwezo wake inayosababisha umeme kukatika.

Nawasilisha
Tuliombea nyuki waingie kwenye mzinga wa Babu Makamba sasa aendelee kulamba asali.
 
Tatizo wanasiasa wanakurupuka kubadilisha watu bila kuwauliza wataalamu mitazamo yao kuhusu hali na ufanisi wa shirika na kitu gani wanapendekeza..........akiingia huyu anataka aweke timu yake, akiingia yule naye aweke timu yake, yaani ni shaghalabaghala.....
Viongozi wanaonhozwa na CHUKI TAMAAA NA HUSDA
 
Unamua huyo mama alidhania nchi ni NGO na washauri wake mazuzu wote! Nakutaka kumprove wrong Magufuli ndo kunamkositi mpaka mwisho wake! Wafanya biashara ndo wanakwepa kodi kama kawa! Hakuna risti wala nini!
Jumba jeupe peeee lile
 
Simuamini january makamba kwa sababu ninaamini kiitikadi ni kibaraka wa wamarekani na wamagharibi. Ukiwa kibaraka unakua unategemea kupewa bakshishi. Ukiwa kibaraka wewe ni mtu mbinafsi huwezi wakilisha maslahi ya nchi.
Mkuuu kweli
 
Back
Top Bottom