January Makamba na jumba bovu

January Makamba na jumba bovu

Kuna baadhi ya Vote zipo kisheria kabisa,kwamba CAG hawezi kagua! Ikulu na Jeshini! Mfano kipindi Rais Magufuli anaumwa,kama kungekua na mambo yakuomba pesa hazina,zitoke baada ya mwezi,nadhani hata huko 17.3.2021 tusingefika,kuna taarifa kwamba Magu alienda hadi Nairobi kutibiwa! Je hizo fedha wangetoa wapi kama wasingekua na mandatory yakuzitumia??

Ulishawahi sikio au kuona CAG katoa report za matumizi ya Wiraza ya Ulinzi?? Yeye hua anaambiwa tu,tumetumia kiasi flani basi!
Ni nchi zote CAG hakagui au ni sheria zetu mbovu? Hizo sheria haziwezi kubadilishwa CAG akakagua?
 
Back
Top Bottom