January Makamba, Nape Nnauye, Mzee Kinana msishupaze shingo zenu; kubalini yaishe

January Makamba, Nape Nnauye, Mzee Kinana msishupaze shingo zenu; kubalini yaishe

Mambo yenu wenyewe huko CCM mtajuana hata mkiuana sisi tunaona poa maana hilo lichama chakavu halina faida yoyote.
 
Ebu toa pendekezo kwa uhalisia....
Chama kipi cha Upinzani halisi chenye viongozi thabiti wenye kubeba (vision) maono ya Tanzania mpya.
Kwenye orodha iliyopo ya vyama vya upinzani nchini?

Nonachokiona ni kwamba hakuna mpaka sasa!
Isipokuwa tunao wanasiasa individuals wenye nia thabiti,wakweli na wazalendo wenye maono ila hawana platform imara kuweza kuwabeba...

Mfano ni kama....

Adv. Mwabukusi.
Luhaga Mpina.
Dk Slaa.
Humphey Polepole.
Mh.Tabasamu.
Mbunge Mstaafu mzee Kessy.
Mh,Lukuvi.
Mh,Kabudi.
Mh,Ole Sendeka.
....na Makonda mweny.

Wapo weengi wa kariba hiyo ila wanatengwa kimfumo.ila kwa hawa wapinzani waliopo....
Ni wasakatonge wa maslahi binafsi.
Na Tabasamu naye ni kiongozi? Hapo umepotoka mkuu.
 
CCM itajisafisha tu yenyewe patakaa sawa,, shida hakuna chama mbadala cha kufanya CCM itoke kwahio lazima CCM yenyewe ijisafishe
CCM ni Nini mpaka istoke madalakani Kwa talifa Yako siku yaja CCM itatoka madalakani tena Kwa aibu kuu na Chadema kitachukua hatamu nyie wenye mioyo kama Tomaso mtabaki kushangaa
 
CCM ni Nini mpaka istoke madalakani Kwa talifa Yako siku yaja CCM itatoka madalakani tena Kwa aibu kuu na Chadema kitachukua hatamu nyie wenye mioyo kama Tomaso mtabaki kushangaa
Kujipa moyo inaruhusiwa pia,,,ila hakuna mbadala wa CCM kwa sasa, sio kwa kizazi hiki cha sasa
 
Uovu ni roho ambayo huuongoza mwili wa mwanadamu na hii roho humtesa Sana mwanadamu mpaka aombewe au akutane na shetani kwenye mazingira ambayo itabidi akatubu na kuombewa na hatimaye roho mbaya huondoka Mara moja na kubaki mtu mwema

Malezi mabaya waliyopewa hawa vijana wawili Nape na Makamba wakiongozwa na wazee kama Kikwete na Kinana wamejiona wao ni mabilionea Sana, matajiri Sana, werevu Sana kumbe ni watu ambao mfumo ukibadilika hata Leo watarudi kwenye umasikini mkubwa kupindukia wa kupanda bodaboda.

Ukiwachunguza hawa vijana wawili, utagundua kubwa mission yao ni kumshoofisha Samia ili walete mtu wao ambaye atatawala miaka 10 mingine ili waendeleee kunyonya kwa Mirija.

Niwape siri nyie vijana: Mrudieni muumba wenu, vita mliyoianzisha hamuiwezi. Nchi inataka kurudi kwenye misingi yake. Itamvuruga kila mwenye kiburi anayelenga masilahi binafsi. Nawaatahadharisha tu kuwa 'your days are numbered' kama hamtabadilika. Kikwete wala Kinana hawatatetea. You are no longer special to outshine the system.
Jukwaa la lawama halipooo?
Huku eleza tatizo direct na mifano na ushauri
 
Ebu toa pendekezo kwa uhalisia....
Chama kipi cha Upinzani halisi chenye viongozi thabiti wenye kubeba (vision) maono ya Tanzania mpya.
Kwenye orodha iliyopo ya vyama vya upinzani nchini?

Nonachokiona ni kwamba hakuna mpaka sasa!
Isipokuwa tunao wanasiasa individuals wenye nia thabiti,wakweli na wazalendo wenye maono ila hawana platform imara kuweza kuwabeba...

Mfano ni kama....

Adv. Mwabukusi.
Luhaga Mpina.
Dk Slaa.
Humphey Polepole.
Mh.Tabasamu.
Mbunge Mstaafu mzee Kessy.
Mh,Lukuvi.
Mh,Kabudi.
Mh,Ole Sendeka.
....na Makonda mweny.

Wapo weengi wa kariba hiyo ila wanatengwa kimfumo.ila kwa hawa wapinzani waliopo....
Ni wasakatonge wa maslahi binafsi.
Kumweka Makoñda kwenye hiyo list ni sawa na kuwapakaa Mavi hao wengine
 
Hata kwa macho wanaonekana wana tamaa ya madaraka. Lakini numbers pia zinawakataa na nyakati zinawatupa mkono. Sio kwa sababu ya umri, bado wadogo kwa umri. Ni kutokana na mabadiliko ya kimfumo na namna unavyotaka nchi kwenda.

Na kimsingi Only Kundi la Wanamtandao liliwahi kujipanga kumweka Rais madarakani na wakafanikiwa. Project zingine zote za kumweka mtu madarakani au mtu mwenyewe kusaka urais haukuwahi kufanikiwa.

Someone cannot imagine now kwamba SSH ni P, PIM ni VP, TAM ni S na KMM ni PM. Nani angeweza kuwaza hivyo mwaka 2010,2013,2014? Only ten years ago.

Binadamu hunifunza kwa experience. Kwa experience hiyo basi Top 5 ya viongozi wa kisiasa nchi hii 5 to 10 yeras to come hawajulikani.
Watapigwa na butwaa pale watakapkuja kuona huyo ajaye 10 years to come hata kwenye system ya Sasa hayupo
 
Nape hujiona na akili sana kumbe ukubwa wa mwili na kichwa chake haviendani kabisaa na akili yake maana akili ni kiduchuuuu, January ana akili nyingi sana tatizo lake ni KIBRI NA UKATILI yule jamaa ukimuona anacheka ujue macho Yako MABOVU
Hao wote wawili uliowataja hawana Akili yoyote wamejaa kiburi na upumbavu umewafuata migongoni mwao.
 
Nchi hii itakaa stable siku pale yule "Fisi" wa Msoga atakapoondoka Duniani!

Otherwise tutaendelea kuyaona haya madudu mpaka hiyo siku itakapowadia!
Bora huyo fisi wa msoga, kuliko yule dhalimu wa chattle.
 
Ebu toa pendekezo kwa uhalisia....
Chama kipi cha Upinzani halisi chenye viongozi thabiti wenye kubeba (vision) maono ya Tanzania mpya.
Kwenye orodha iliyopo ya vyama vya upinzani nchini?

Nonachokiona ni kwamba hakuna mpaka sasa!
Isipokuwa tunao wanasiasa individuals wenye nia thabiti,wakweli na wazalendo wenye maono ila hawana platform imara kuweza kuwabeba...

Mfano ni kama....

Adv. Mwabukusi.
Luhaga Mpina.
Dk Slaa.
Humphey Polepole.
Mh.Tabasamu.
Mbunge Mstaafu mzee Kessy.
Mh,Lukuvi.
Mh,Kabudi.
Mh,Ole Sendeka.
....na Makonda mweny.

Wapo weengi wa kariba hiyo ila wanatengwa kimfumo.ila kwa hawa wapinzani waliopo....
Ni wasakatonge wa maslahi binafsi.
Mwabukusi umemtaja tena wa kwanza ili kutupoteza maboya, lakini lengo lako ni hao waumini wa dhalimu magu ndio uliwakusudia.
 
Conclusively, it's undeniable that the demise of the dictator MAGU marks a significant moment of relief and liberation for many within the nation. Civilized society celebrates the newfound freedom and opportunities for progress. However, the challenges posed by the power vacuum and the lingering influence of the former regime's supporters must be acknowledged and addressed to ensure a stable and truly free society moving forward
 
Uovu ni roho ambayo huuongoza mwili wa mwanadamu na hii roho humtesa Sana mwanadamu mpaka aombewe au akutane na shetani kwenye mazingira ambayo itabidi akatubu na kuombewa na hatimaye roho mbaya huondoka Mara moja na kubaki mtu mwema

Malezi mabaya waliyopewa hawa vijana wawili Nape na Makamba wakiongozwa na wazee kama Kikwete na Kinana wamejiona wao ni mabilionea Sana, matajiri Sana, werevu Sana kumbe ni watu ambao mfumo ukibadilika hata Leo watarudi kwenye umasikini mkubwa kupindukia wa kupanda bodaboda.

Ukiwachunguza hawa vijana wawili, utagundua kubwa mission yao ni kumshoofisha Samia ili walete mtu wao ambaye atatawala miaka 10 mingine ili waendeleee kunyonya kwa Mirija.

Niwape siri nyie vijana: Mrudieni muumba wenu, vita mliyoianzisha hamuiwezi. Nchi inataka kurudi kwenye misingi yake. Itamvuruga kila mwenye kiburi anayelenga masilahi binafsi. Nawaatahadharisha tu kuwa 'your days are numbered' kama hamtabadilika. Kikwete wala Kinana hawatatetea. You are no longer special to outshine the system.
Bahati mbaya walichagua kukupuuza
 
Back
Top Bottom