peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Rais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI.
Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya.
Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna waya, hakuna mkandarasi site na kwa upande wa kenya hakieleweki.
Sasa mradi huu wakenya wanatakiwa kuulizia maendeleo yake au ni sisi watanzania tunatakiwa kuulizia maendeleo yske?
Tangu JPM afariki mradi umesimama, ni nini hayima yamradi huu ambao ulikuwa hatua za kumalizika?
Miradi mingi imesimamailiyokuwa imeanzishwa ni nini kifanyike?