January Makamba nikuulize unijibu, umeme ulianzia Singida ~ ARUSHA ~ Namanga ~ Nairobi nini kinaendela?

January Makamba nikuulize unijibu, umeme ulianzia Singida ~ ARUSHA ~ Namanga ~ Nairobi nini kinaendela?

Kwa hiyo wewe tuamini hizo asilimia za mchongo? Unakumbuka waziri alietoka alisema bwawa litajazwa maji lini? Je waziri ajae akasema imeshindikana Kwa sababu ya nini kuchelewa vile? Watanzania sio vipofu kwamba hawaoni au viziwi kwamba hawasikii nyie lambeni asali tu mje na takwimu feki 25 sio mbali
Ilisemwa litajazwa disemba 15 na Sasa wamesema disemba 22,ni wiki mbele,magu alitangaza kujaza lini!?
 
Rais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI.

Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya.

Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna waya, hakuna mkandarasi site na kwa upande wa kenya hakieleweki.

Sasa mradi huu wakenya wanatakiwa kuulizia maendeleo yake au ni sisi watanzania tunatakiwa kuulizia maendeleo yske?

Tangu JPM afariki mradi umesimama, ni nini hayima yamradi huu ambao ulikuwa hatua za kumalizika?

Miradi mingi imesimamailiyokuwa imeanzishwa ni nini kifanyike?
Nilijuwa wa sadekiii
 
dah huyu makamba sijui kawafanya nini watanzania
Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Makamba has better presidential traits than others. This is the root cause of all these nonsensical issues.
 
Tusipofanya maamuzi magumu kwenye uchaguzi mkuu 2025 tumekwisha.
Nakumbia ivi hata CCM kipindi cha kampeni ikilalala na kuwacha chadema kupiga debe mtaani,watanzania si mazezeta kuwapa ikulu wahuni wa kujitundika marisasi na kukimbilia ubeligiji
 
Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Makamba has better presidential traits than others. This is the root cause of all these nonsensical issues.
inashangaza sana anavyosakamwa mtu huyu . hivi huku Africa kwann tunachukiana kiasi hiki matatizo ya umeme nchi hii yamekuwepo tangu enzi na enzi leo na ukame wote huu karibu kote Africa makamba afanye nini?
 
Nakumbia ivi hata CCM kipindi cha kampeni ikilalala na kuwacha chadema kupiga debe mtaani,watanzania si mazezeta kuwapa ikulu wahuni wa kujitundika marisasi na kukimbilia ubeligiji
Maamuzi magumu ni Pole pole kuchukua fomu ya Urais kupitia CCM na mama naye achukue tukutane kwenye kura ukumbi wa JK dodoma. Sio biashara ya biashara ya chadema
 
inashangaza sana anavyosakamwa mtu huyu . hivi huku Africa kwann tunachukiana kiasi hiki matatizo ya umeme nchi hii yamekuwepo tangu enzi na enzi leo na ukame wote huu karibu kote Africa makamba afanye nini?
Basi ndugu habari ndiyo hiyo. Kila msaka urais na machawa wao wote wanamuona Makamba ni tishio kwa ndoto zao.
 
umeme wa kuuza Kenya uko wapi mkuu?.usitegemee Tanzania kuwa na umeme nafuu na wa uhakika hata kama bwawa la JNHPP likikamilika,wataanza mgao wa umeme kwaajili ya kurekebisha miundombinu mpaka itakapomilika 2060 huko.amini nachokwambia.
 
Yuko mifukoni mwa ma tycoon.
Itakuwa "state capture" tupu.
God forbid.
Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Makamba has better presidential traits than others. This is the root cause of all these nonsensical issues.
 
Back
Top Bottom