peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa hiyo mradi huo ni white elephant?Ujenzi wa bwawa la Nyerere ulivoanza kusuasua baada ya mwendazake kwenda Kenya wakaamua kuachana na Tanzania na kuwageukia Ethiopia.
Na ukumbuke sisi na Ethiopia tulianza ujenzi wa mabwawa yetu wakati mmoja ila Ethiopia wamewahi kumaliza, Kenya wakaingia nao mkataba.
Ujenzi haujawahi kusuasua Enzi ya magu wote tulishuhudia mawaziri wakipigana vikumbo kwenda kushuhudia huu mradi umeanza kusuasua kipindi hiki Cha mama na ndio maana huoni hata mtu yeyote akienda kuona umefikia wapi maana wanajua hakuna linaloendeleaUjenzi wa bwawa la Nyerere ulivoanza kusuasua baada ya mwendazake kwenda Kenya wakaamua kuachana na Tanzania na kuwageukia Ethiopia.
Na ukumbuke sisi na Ethiopia tulianza ujenzi wa mabwawa yetu wakati mmoja ila Ethiopia wamewahi kumaliza, Kenya wakaingia nao mkataba.
Kuna jambo la kujifunza hapaRais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI.
Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya.
Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna waya, hakuna mkandarasi site na kwa upande wa kenya hakieleweki.
Sasa mradi huu wakenya wanatakiwa kuulizia maendeleo yake au ni sisi watanzania tunatakiwa kuulizia maendeleo yske?
Tangu JPM afariki mradi umesimama, ni nini hayima yamradi huu ambao ulikuwa hatua za kumalizika?
Miradi mingi imesimamailiyokuwa imeanzishwa ni nini kifanyike?
Wakatutosa baada ya kurejesha dhahabu na fedha zetu walizokamata kwaoNa ukumbuke sisi na Ethiopia tulianza ujenzi wa mabwawa yetu wakati mmoja ila Ethiopia wamewahi kumaliza, Kenya wakaingia nao mkataba.
Rubbish! Inabidi zoezi zima likamilike ili mradi wa JNPP ukikamilika basi issue iwe ni kuruhusu umemeUnataka nyaya ziwepo kwa umeme upi. Hiyo project inategemea bwawa la Nyerere, subiri bwawa likamilike
Acha uongo, bwawa la Ethiopia Great Grand lilianza 2011Ujenzi wa bwawa la Nyerere ulivoanza kusuasua baada ya mwendazake kwenda Kenya wakaamua kuachana na Tanzania na kuwageukia Ethiopia.
Na ukumbuke sisi na Ethiopia tulianza ujenzi wa mabwawa yetu wakati mmoja ila Ethiopia wamewahi kumaliza, Kenya wakaingia nao mkataba.
NI kweli, baada ya kumaliza mchina mmoja na m Enthiopia mmoja wakaja Dsm kwa Nia ya kuweka mradi wa Umeme wa upepo . Wakaenda Singida kukagua mahali panapofaa. Mpaka bandarini walifika kukagua gati linaloweza kupokea meli itakayoleta mitambo hiyo. Baada ya Miezi kadhaa kupita, eti serikali Yao imefuta ufadhili wa mrad huu sababu Kuna watu wazito wanagombea kuwa wabia, kila mmoja na kampuni yake na wote walikuwa maswahiba saana wa born town. Mradi ukafia hapo hapo.Acha uongo, bwawa la Ethiopia Great Grand lilianza 2011
DuhNI kweli, baada ya kumaliza mchina mmoja na m Enthiopia mmoja wakaja Dsm kwa Nia ya kuweka mradi wa Umeme wa upepo . Wakaenda Singida kukagua mahali panapofaa. Mpaka bandarini walifika kukagua gati linaloweza kupokea meli itakayoleta mitambo hiyo. Baada ya Miezi kadhaa kupita, eti serikali Yao imefuta ufadhili wa mrad huu sababu Kuna watu wazito wanagombea kuwa wabia, kila mmoja na kampuni yake na wote walikuwa maswahiba saana wa born town. Mradi ukafia hapo hapo.
.
.
Magu kafa kaacha mradi uko 30% miaka minne,miezi 21 ya Samia mradi upo 80%,kipindi gani mradi umesuasua!?..mawaziri kwenda site ndiyo dalili ya kazi kufanyika!?..Waziri anafanya kazi gani site!!Ujenzi haujawahi kusuasua Enzi ya magu wote tulishuhudia mawaziri wakipigana vikumbo kwenda kushuhudia huu mradi umeanza kusuasua kipindi hiki Cha mama na ndio maana huoni hata mtu yeyote akienda kuona umefikia wapi maana wanajua hakuna linaloendelea
Kwa hiyo wewe tuamini hizo asilimia za mchongo? Unakumbuka waziri alietoka alisema bwawa litajazwa maji lini? Je waziri ajae akasema imeshindikana Kwa sababu ya nini kuchelewa vile? Watanzania sio vipofu kwamba hawaoni au viziwi kwamba hawasikii nyie lambeni asali tu mje na takwimu feki 25 sio mbaliMagu kafa kaacha mradi uko 30% miaka minne,miezi 21 ya Samia mradi upo 80%,kipindi gani mradi umesuasua!?..mawaziri kwenda site ndiyo dalili ya kazi kufanyika!?..Waziri anafanya kazi gani site!!