inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ilisemwa litajazwa disemba 15 na Sasa wamesema disemba 22,ni wiki mbele,magu alitangaza kujaza lini!?Kwa hiyo wewe tuamini hizo asilimia za mchongo? Unakumbuka waziri alietoka alisema bwawa litajazwa maji lini? Je waziri ajae akasema imeshindikana Kwa sababu ya nini kuchelewa vile? Watanzania sio vipofu kwamba hawaoni au viziwi kwamba hawasikii nyie lambeni asali tu mje na takwimu feki 25 sio mbali
Nilijuwa wa sadekiiiRais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI.
Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya.
Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna waya, hakuna mkandarasi site na kwa upande wa kenya hakieleweki.
Sasa mradi huu wakenya wanatakiwa kuulizia maendeleo yake au ni sisi watanzania tunatakiwa kuulizia maendeleo yske?
Tangu JPM afariki mradi umesimama, ni nini hayima yamradi huu ambao ulikuwa hatua za kumalizika?
Miradi mingi imesimamailiyokuwa imeanzishwa ni nini kifanyike?
EIA Inawatandika....Mchonga sio mjinga kutokuchimba..Ilisemwa litajazwa disemba 15 na Sasa wamesema disemba 22,ni wiki mbele,magu alitangaza kujaza lini!?
Mchonga alipotaka kuchimba nduli akazingua,tulipotoka kwa nduli tulikua hoi,asingeweza chimbaEIA Inawatandika....Mchonga sio mjinga kutokuchimba..
dah huyu makamba sijui kawafanya nini watanzaniaSerikali nzima umemuona Makamba tu? Idara na wizara nyingine zote hakuna tatizo isipokuwa umeme tu?
Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Makamba has better presidential traits than others. This is the root cause of all these nonsensical issues.dah huyu makamba sijui kawafanya nini watanzania
Nakumbia ivi hata CCM kipindi cha kampeni ikilalala na kuwacha chadema kupiga debe mtaani,watanzania si mazezeta kuwapa ikulu wahuni wa kujitundika marisasi na kukimbilia ubeligijiTusipofanya maamuzi magumu kwenye uchaguzi mkuu 2025 tumekwisha.
inashangaza sana anavyosakamwa mtu huyu . hivi huku Africa kwann tunachukiana kiasi hiki matatizo ya umeme nchi hii yamekuwepo tangu enzi na enzi leo na ukame wote huu karibu kote Africa makamba afanye nini?Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Makamba has better presidential traits than others. This is the root cause of all these nonsensical issues.
Maamuzi magumu ni Pole pole kuchukua fomu ya Urais kupitia CCM na mama naye achukue tukutane kwenye kura ukumbi wa JK dodoma. Sio biashara ya biashara ya chademaNakumbia ivi hata CCM kipindi cha kampeni ikilalala na kuwacha chadema kupiga debe mtaani,watanzania si mazezeta kuwapa ikulu wahuni wa kujitundika marisasi na kukimbilia ubeligiji
Basi ndugu habari ndiyo hiyo. Kila msaka urais na machawa wao wote wanamuona Makamba ni tishio kwa ndoto zao.inashangaza sana anavyosakamwa mtu huyu . hivi huku Africa kwann tunachukiana kiasi hiki matatizo ya umeme nchi hii yamekuwepo tangu enzi na enzi leo na ukame wote huu karibu kote Africa makamba afanye nini?
Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Makamba has better presidential traits than others. This is the root cause of all these nonsensical issues.