January Makamba njoo CHADEMA uwe mgombea urais mwaka 2020

Ona huyu mnafiki
 
Sijaelewa bado makamba anakubalika wapi?
 
Wapinzani hawa ndo wachukue hatua stahiki. Hawana ubavu huo na hawajui wafanye nini! Utawasikia - "tutadai tume huru"! Ukiwauliza hawajui lini!
 
Sidhani kama atakuwa mjinga hivyo na amuachie chama mtu aiyechukua card ya ccm 1993. Hali yeye kazaliwa na kulelewa ndani ya chama.
Kenyatta Uhuru alizaliwa ndani ya KANU mkuu,maisha popote.....

Maoni yangu Chadema warecruit watu wao,lasivyo itakuwa nisawa na timu inayosiyotaka ubingwa inapambana ibaki ligi kuu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…