Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Unawadanganya wenzio😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawadanganya wenzio😂😂
Ujinga wa kiwango cha lamiSalaam.
Kwa kuwa January Makamba ni mchapa kazi na anakubalika na wanachama wa Chadema basi tunamuomba achukue kadi ya chadema haraka sana ili tumpitishe kugombea urais mwaka 2020 akipambana na rais Magufuli aliyemtengua leo.
Ikumbukwe pengo la mgombea urais chadema liko wazi baada ya Edward Lowasa kukatwa mkia na kurudi ccm rasmi ,baadhi wanamtaja Lisu kurithi mikoba ya Lowasa lakini watu wengi wanasema afya ya Lisu bado haijaimarika pia wapiga kura wengi wamechukizwa na skendo yake ya kufanya kikao na mkuu wa mashoga duniani ! Wazazi wengi wana hofu hatima ya watoto wao ikiwa Tundu Lisu atashinda urais na kuruhusu ushoga nchini.
Hivyo basi Makamba anaonekana wazi atapata nafasi Chadema maana hana sikendo ya ufisadi na amesimamia vizuri upigwaji marufuku mifuko ya plasitiki nchini.
Mwaka huu hatutaki mamluki CDM wapo wengi waweza gombea uprezidaa broSalaam.

Wewe mchumia tumbo wa ccm chadema inakuhusu nini?Salaam.

Hutaki wewe kama nani? Kwenye wewe ndiyo DJ?Mwaka huu hatutaki mamluki CDM wapo wengi waweza gombea uprezidaa bro
Wewe mchumia tumbo wa chadema jibu hojaWewe mchumia tumbo wa ccm chadema inakuhusu nini?
Unaliwa jicho