January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini?

Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number.

Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na mita? Mameneja wa Tanesco mikoa na wilaya nchi nzima wamepigwa marufuku kutoa namba za kulipia line mpya inayohitaji nguzo.

Je, hali hii itaendelea hadi lini? Makamba watanzania wanakuangalia na wanajuta awamu sita inakoelekea na umezidisha maneno kuliko matendo.

Toa taarifa kwa vyombo vya umma na vyombo vya habari kuelezea hali halisi ya Tanesco na ni nini wateja wapya wanachotakiwa kufanya au wasubiri hadi lini wawese kulipia umeme.
 
Kwa masikitiko makubwa sana Tanesci nchi nzima hakuna nguzi wala meta kwa wateja wapya. Tatizo ni nini? Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama linebyake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number. Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na meta? Mameneja wa Tanesco mikoa na wilaya nchi nzima wamepigwa marufuku kutoa namba za kulipia line mpya inayohitaji nguzo. Je hali hii itaendelea hadi lini? Makamba watanzania wanakuangalia na wanajuta awamu sita inakoelekea na umezidisha maneno kuliko matendo. Toa taarifa kwa vyombo vya umma na vyombo vya habari kuelezea hali halisi ya Tanesco na ni nini wateja wapya wanachotakiwa kufanya au wasubiri hadi lini wawese kulipia umeme.
Inashangaza kikweli. mahali Fulani hapa surveyor walikuja mara mbili kuchora mchoro.

Ajabu kumbe walikuwa hawachori wakitaka kwanza wahongwe.

Mara ya tatu baada ya Kulalamika kwamba hawana mchoto wowote kwenye fomu zao, meneja alituma surveyor Tena.

Baada ya hapo ni kimya, hakuna nguzo hakuna lolote.

Kila siku ni kujitetea hatuna nguzo subirini.

Lakini kwingine makandarasi na tanesco wanakopewa rushwa, nguzo zinasambazwa kama kawaida.

Hapa tunawaza kuwaona Takukuru, tuwakamatkinoshe rushwa hawa jamaa yumkini watakao kuja watatuletea umeme
# tanescoarealmonster# tz
 
Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini?

Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number.

Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na mita? Mameneja wa Tanesco mikoa na wilaya nchi nzima wamepigwa marufuku kutoa namba za kulipia line mpya inayohitaji nguzo.

Je, hali hii itaendelea hadi lini? Makamba watanzania wanakuangalia na wanajuta awamu sita inakoelekea na umezidisha maneno kuliko matendo.

Toa taarifa kwa vyombo vya umma na vyombo vya habari kuelezea hali halisi ya Tanesco na ni nini wateja wapya wanachotakiwa kufanya au wasubiri hadi lini wawese kulipia umeme.
Weka uthibitisho wa iyo taarifa yako
 
wateja wanasubiri mita za umeme tangu mwezi July hadi leo, hata dalili za upatikanaji hazipo, kweli hili ni tatizo kubwa sana unajiuliza hivi Tanesco wanafanya biashara ama Huduma ?

kwenye hili Makamba sikutetei una kesi ya kujibu.
 
Kiuhalisia hii Wizara imezamishwa na Kalemani, alipolazimisha gharama ya kuunganisha umeme tzs 27,000/- wakati akijua fika gharama za vifaa husika ni zaidi ya tzs 150,000/-

Hii ilikuwa hujuma kwa shirika LA Tanesco na kama yasemwayo ni kweli nilitegemea lazima iwe hivyo
 
Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini?

Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number.

Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na mita? Mameneja wa Tanesco mikoa na wilaya nchi nzima wamepigwa marufuku kutoa namba za kulipia line mpya inayohitaji nguzo.

Je, hali hii itaendelea hadi lini? Makamba watanzania wanakuangalia na wanajuta awamu sita inakoelekea na umezidisha maneno kuliko matendo.

Toa taarifa kwa vyombo vya umma na vyombo vya habari kuelezea hali halisi ya Tanesco na ni nini wateja wapya wanachotakiwa kufanya au wasubiri hadi lini wawese kulipia umeme.
Dili haijakaa vizuri...mtu wao wa nguzo na mita bado hajapewa mkataba wa manunuzi..NAOTA
 
wateja wanasubiri mita za umeme tangu mwezi July hadi leo, hata dalili za upatikanaji hazipo, kweli hili ni tatizo kubwa sana unajiuliza hivi Tanesco wanafanya biashara ama Huduma ? kwenye hili Makamba sikutetei una kesi ya kujibu.
Lazima wasubiri kwani ni vigumu shirika kununua vifaa kwa gharama ya zaidi ya tzs 150,000 halafu ufungie mteja kwa tzs 27,000/- kalagabaho
 
Inashangaza kikweli. mahali Fulani hapa surveyor walikuja mara mbili kuchora mchoro. Ajabu kumbe walikuwa hawachori wakitaka kwanza wahongwe.

Mara ya tatu baada ya Kulalamika kwamba hawana mchoto wowote kwenye fomu zao, meneja alituma surveyor Tena. Baada ya hapo ni kimya, hakuna nguzo hakuna lolote.

Kila siku ni kujitetea hatuna nguzo subirini. Lakini kwingine makandarasi na tanesco wanakopewa rushwa, nguzo zinasambazwa kama kawaida.

Hapa tunawaza kuwaona Takukuru, tuwakamatkinoshe rushwa hawa jamaa yumkini watakao kuja watatuletea umeme
# tanescoarealmonster# tz
Wacha kelele toa rushwa hio,hii ndio bongo.Cha bure Ni salamu.
 
Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini?

Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number.

Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na mita? Mameneja wa Tanesco mikoa na wilaya nchi nzima wamepigwa marufuku kutoa namba za kulipia line mpya inayohitaji nguzo.

Je, hali hii itaendelea hadi lini? Makamba watanzania wanakuangalia na wanajuta awamu sita inakoelekea na umezidisha maneno kuliko matendo.

Toa taarifa kwa vyombo vya umma na vyombo vya habari kuelezea hali halisi ya Tanesco na ni nini wateja wapya wanachotakiwa kufanya au wasubiri hadi lini wawese kulipia umeme.
Nguzo zitaletwa toka nje kama zama zile,, Kalemani alipiga stop wamemtoa wakati miti iko kibao huko Njombe
Makamba ni link kati ya wapigaji na wahujumu na serikali na ndiyo kazi aliyoletewa hapo na hiyo wizara mnaijua siyo ya kumuweka mzalendo,,, Habari za daraja la Kigongo Busisi mnazo?????? hatusemi,,,,hakuna pesaaaa na kazi siyo day and night tena
 
Back
Top Bottom