fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nguzo zipo bali tanesco hawana fedha na wamekatazwa kuchukua nguzo bila kuzilipiaKwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini?
Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number.
Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na mita? Mameneja wa Tanesco mikoa na wilaya nchi nzima wamepigwa marufuku kutoa namba za kulipia line mpya inayohitaji nguzo.
Je, hali hii itaendelea hadi lini? Makamba watanzania wanakuangalia na wanajuta awamu sita inakoelekea na umezidisha maneno kuliko matendo.
Toa taarifa kwa vyombo vya umma na vyombo vya habari kuelezea hali halisi ya Tanesco na ni nini wateja wapya wanachotakiwa kufanya au wasubiri hadi lini wawese kulipia umeme.
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app