Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Juu ya nini mkuu,
Dawa ya kuondoa ujinga ni kutoa elimu. Toa elimu usitoe povuPole sana. Inaonekana uelewa wako ni mdogo sana. Kwa uelewa wako mdogo, unadhani crane yoyote inaweza kunyanyua kitu chochote, kinachoangaliwa ni uzito tu.
Kwa ujinga wako, nadhani unaamini Fuso la uwezo wa kubeba tani 7 linaweza kubeba container tupu la futi 40, kwa sababu container tupu la futi 40 lina uzito wa tani 2.
Sijui kwa nini watanzania wengi ni wajinga hasa, na wanasikia fahari kuishi kwenye ujinga.
Kweli umeuliza Jambo la msingi Sana nchi ambako umeme haukatiki ovyoovyo Kama hapa kwetu repair haifanyiki?Wakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Kama kawaida yako, unaendelea kukurupuka bila kufikiria unachoandika!Ni bora watishwe kufukuzwa umeme uwake
Je maintenance kila siku na kwa maeneo yote nchi zima. Hakuna schedule of maintenance na makamirisho yake! Iwe public maeneo ya ukarabati na yanayokamilishwa yaonyeshwe kuondoa ambiguity kwa wananchi media zitumikeKauli yenyewe imekaa kisiasa, kiuongo, kinafiki
Huku nilipo umeme unakata saa tano asubuhi unarudi saa 2 usiku
Labda wana mpango wa kuleta mzigo wao wa Ma-Generator...sasa wanaanzia mbali; wanatengeneza tatizo; kisha wanakuja na solution.skedule repair ni Tanzania tu ? Mbona kuna nchi nyingi hawajui hata mgao wa umeme kitu gani,hawa ndio wanaosabotaji miundo mbinu ili wananchi wamchukie Raisi ili wao baadae waje na wimbo wa kuondoa shida hizi za kukatika uume,
na hata wakati wa magu ilikuwa tiyari tumeanza kusahau mgao wa umeme ,tusidanganyane repair za umeme hazipo namna ya vifaa vya umeme ni vitu havina tofauti na vifaa vya ndege. Havihitaji repair za kila leo.
Marekebisho kama yapi, kwa mfano?Kwa maendeleo ya sasa kuna uwezekano wa kufanya marekebisho kwenye line za umeme bila kukata umeme,je hilo nalo kufanyika hapa kwetu ili kuondoa au kupunguza shida ya kukosekana umeme kwa muda mrefu nyie wakubwa mtatuambiaje?
Jamani hivi mbona mnatufanya Watanzania wote Mazuzu? Nadhani Hamza wa Salender aliwaonyesha kuwa Watanzania sio Mazuzu. Chukueni tahadhari na maneno yenu.....Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Pole sana. Inaonekana uelewa wako ni mdogo sana. Kwa uelewa wako mdogo, unadhani crane yoyote inaweza kunyanyua kitu chochote, kinachoangaliwa ni uzito tu.Kwa hiyo kwa miaka mitano hakuna maintenance iliyofanyika, Huyu jamaa muongo sana kama anasema hatuna crane ya kubeba tan 26 Tanzania kwa hili la maintenance nani ata amini maneno yake
Mapema kabisa amefeli huyu mama. Kuna kijiwe fulani cha "kuwapiga wananchi" kilivunjwa na PCCB miaka 3 iliyopita hivi sasa kimerudi na nguvu mara 10 zaidi ya zamani. Tafsiri yake ni kwamba mama jajali.Hakuna waziri pale, huyu angepelekwa wizara ya michezo na wasanii, akiongea unaweza dhani ni bonge la mtu kumbe ni laghai mwenye kiwango cha PhD.Samia atafeli sana kwa kuendekeza mfumo wa walewale.Watu waliotumikia wakafeli awamu zilizopita wanakumbukwa tena maajabu haya!! Watu kama Batilda Burian, Alfayo Kidata, Turuka nk wa nini? Wewe mama unafeli wapi?
Huyu wizara imemshinda sa hv tunakaa gizani bora tu waendelee kutishwa umeme uwake watu wafanye kaz zao vzr aache visingizioHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064