January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Tatizo mawaziri wanateuliwa kisiasa Tu.
Waziri ni lazima awe na Elimu ya kutosha ya shughuri za Wizara husika.
Waziri wa afya ni lazima awe Daktari mbobevu.
Makamba mpelekeni Wizara ya Habari na Michezo ndo fani yake hiyo.
Masuala ya Nishati na Gesi wanahitajika watu kama Akina Prof Muhongo.
Wabobevu wa fani husika.

Nchi za kiafrika hazisongi mbele kimaendeleo sababu moja ni hii

Kuteuana kisiasa.

Meghji aliteuliwa bila kuwa na utaalamu wa Fedha.
Na akatetewa Sana.
"Uwaziri hawasomei"
kumbe watu wanataka kupiga Escrow deal.
Alipo ulizwa Waziri akajitetea
"Nilidanganywa na washauri wangu"
Kumbe Elimu ya Fedha ni 0%
Kila anachoelezwa ni ndio Tu.

Kumteua Waziri kusimamia Wizara ambayo Hana utaalamu nayo wakati wataalamu wapo ni UFISADI.
Lengo ni KUFISADI.
 
Repairs kubwa huwa zinakamilika ila zile za dharura huwa haziishi kwa mfano Gari limegonga nguzo za Umeme au mvua ya upepo.

Ni matumaini yetu kabla ya pilkapilka za Krismasi Umeme uwe wa uhakika .
Nadhani hujanielewa..official deadline ya mgao ni lini? siyo unachodhani tunataka kujua siku rasmi. Naomba nikukumbushe huu ni mwaka 2021.
 
skedule repair ni Tanzania tu ? Mbona kuna nchi nyingi hawajui hata mgao wa umeme kitu gani,hawa ndio wanaosabotaji miundo mbinu ili wananchi wamchukie Raisi ili wao baadae waje na wimbo wa kuondoa shida hizi za kukatika uume,
na hata wakati wa magu ilikuwa tiyari tumeanza kusahau mgao wa umeme ,tusidanganyane repair za umeme hazipo namna ya vifaa vya umeme ni vitu havina tofauti na vifaa vya ndege. Havihitaji repair za kila leo.
 
Atoke zake hapo. Repairs unafanya ndio inchi nzima ikose umeme hovyo hovyo.
 
Kenya mbona wanafanya scheduled repair lkn kunakuwa hakuna mgao wa umeme? Ina maana miaka yote ya magufuli hapakuwa na maintenance? Huyu ni Fala Tu
 
Wakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Unajua hawa wapumbavu wanajiona smart sana......
 
Wakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Kikwete mgao wa umeme uliisha alipoingia awamu ya pili,baada ya kinyerezi na hao dowans
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Mpumbavu mkubwa huyo, repair gani mnakata sehemu hovyo hovyo nankurudi hovyo hovyo, bila ratiba maalum, matengenezo si yana ratiba maalum? Halafu kwanini anatoa taarifa ya kiserikali kwa style ya mipasho, kwanini asiite press conference akatoa taarifa kiuweledi, akahojiwa na waandishi na akajibu kiuweledi?!
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064

January, lakini wewe mwenyewe juzi tu umetishia kuwafukuza kazi kama umeme utaendelea kukatikakatika baada ya wiki mbili!! Kama unajua kuwa dawa sio kufukuza kawanini unawatishia wafanyakazzi kuwa utawafukuza? Be advised young man TO THINK BEFORE YOU LEAP!
 
Huyu anataka kuturudisha kule tulikoletewa MAKABURU kutoka South Africa waendeshe TANESCO! Tuligoma lakini tuliletewa maji ya kuwasha na kupigwa virungu na mengine yote yaliyotokea - sasa NI HISTORIA! Hatutaki kurudi huko, na pia hakuna sababu yoyote ya maana ya umeme kukatika katika; ni uzembe na uhujumu tu kwa nia na sababu wanazozijua hao staff wa TAA NA ESCO! Pamoja na yote wananchi tunataka umeme siyo bra bra!
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Huo ni uzandiki mtupu. Ni sawa na kuficha uchi wakati mtu unataka mtoto au mtu kuficha mimba wakati atazaa. Management ya tanesco walikua wanawajibika kisawasawa sio huu upuuzi wa kumkejili jpm january makamba anafanya.
 
Kama ni kweli lakini: madhara ya kutofanya scheduled maintenance ni makubwa sana na gharama zake huwa ni kubwa sana....

unaweza kuscrap liplant just kwa sababu ya kudharau hizo scheduled maintenance au kuachwa kufanyika kizembezembe na wazembe.

Tanesco inahitaji reform iwe ya kisasa na itumie mifumo ya kisasa kuendana na hali ya sasa, ni wakati sasa wa kuajili kizazi kipya kipewe mafunzo nje na ndani kuendana na kasi ya teknolojia na kuachana na old schools ( staafisha walipe stahiki )...

Hapo kwenye maintenance and repair kunahitaji uwekezaji na umakini sana kuliko kitu chochote.
 
Back
Top Bottom