Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
I'm still thinking!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa......wananchi wanataka nishati!===
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli,
View attachment 2015064
Juu ya nini mkuu,I'm still thinking!
Hahahaaaa......wananchi wanataka nishati!
Hizo nchi zingne ambazo umeme haukatik huwa hawafany hzo maintanance?..heb atuache...ishu ni hasara wanayapata wa Tz kwa kukosa umeme hata lisaa lisaa li1Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Huku ushakatikaSasahivi umeme haijulikani utawaka ama la
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Msambaa anataka kutembelea nyota ya ngosha!kwa hiyo kumbe miundominu ya tanesco imeharibika sana kwasababu ya vitisho vya Marehemu Pombe.
Sawa, umeme utakuwa stable lini? Ksb watu tunataka umeme siyo maneno.Makamba kaongea ukweli.
Zuzu kweli, Halafu mwisho wake ni nn kama sio giza totoro na kununua mitambo mipya. Wewe ni mfano halisi wa ule utafiti wa IQ ndogo kwa TZNi bora watishwe kufukuzwa umeme uwake