January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Januari anaweza kudanganya wajing wachache lakini si watu wote.

Enzi za Prof. Muhongo na baadaye Kalemani walikuwa wanafanya ukarabati masaa 24 kwenye substations au kwenye national grid lines au kwenye plants zao za generation. Walikuwa wanakwenda kwenye marekebisho hata wakati wa mvua au usiku wa manane.

Ukitoa taarifa wanakuja haraka na wanafuatilia mara kwa mara kama aliyetoa taarifa amehudumiwa na ameridhika.
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Hizo nchi zingne ambazo umeme haukatik huwa hawafany hzo maintanance?..heb atuache...ishu ni hasara wanayapata wa Tz kwa kukosa umeme hata lisaa lisaa li1
 
Hakuna waziri pale, huyu angepelekwa wizara ya michezo na wasanii, akiongea unaweza dhani ni bonge la mtu kumbe ni laghai mwenye kiwango cha PhD.Samia atafeli sana kwa kuendekeza mfumo wa walewale.Watu waliotumikia wakafeli awamu zilizopita wanakumbukwa tena maajabu haya!! Watu kama Batilda Burian, Alfayo Kidata, Turuka nk wa nini? Wewe mama unafeli wapi?
 
Ni bora watishwe kufukuzwa umeme uwake
Zuzu kweli, Halafu mwisho wake ni nn kama sio giza totoro na kununua mitambo mipya. Wewe ni mfano halisi wa ule utafiti wa IQ ndogo kwa TZ

Yani ww una gari yako dereva anakuambia gia # 3 haiingii, Wewe unasema endesha tu ulete hesabu au ntakutimua, mwishowe gear box inakufa na unapaki mwezi nzima.
 
Back
Top Bottom