mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Na winch yenye tani 26 ataleta lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameonyesha hana uwezo. Sisi waja tunamtumaini Mwenyezi Mungu kutupa viongozi. Sio hawa wa kulazimishanaSiku tukirogwa huyu kenge akaingia white house tumeisha
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nilidhani kasema leo, kumbe tarehe 29 October 2021?Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Nadhani hujanielewa..official deadline ya mgao ni lini? siyo unachodhani tunataka kujua siku rasmi. Naomba nikukumbushe huu ni mwaka 2021.Repairs kubwa huwa zinakamilika ila zile za dharura huwa haziishi kwa mfano Gari limegonga nguzo za Umeme au mvua ya upepo.
Ni matumaini yetu kabla ya pilkapilka za Krismasi Umeme uwe wa uhakika .
Mtweet Waziri Makamba.Nadhani hujanielewa..official deadline ya mgao ni lini? siyo unachodhani tunataka kujua siku rasmi. Naomba nikukumbushe huu ni mwaka 2021.
Yule mjinga hana majibu.Mtweet Waziri Makamba.
Atoe hiyo ratiba ya kufanya repair, mbona walikuwa wanatoa ratiba ya kuhamisha nguzoHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Unajua hawa wapumbavu wanajiona smart sana......Wakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Kikwete mgao wa umeme uliisha alipoingia awamu ya pili,baada ya kinyerezi na hao dowansWakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Mpumbavu mkubwa huyo, repair gani mnakata sehemu hovyo hovyo nankurudi hovyo hovyo, bila ratiba maalum, matengenezo si yana ratiba maalum? Halafu kwanini anatoa taarifa ya kiserikali kwa style ya mipasho, kwanini asiite press conference akatoa taarifa kiuweledi, akahojiwa na waandishi na akajibu kiuweledi?!Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
nakuunga mkono mheshimiwa waziri makambaHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Huo ni uzandiki mtupu. Ni sawa na kuficha uchi wakati mtu unataka mtoto au mtu kuficha mimba wakati atazaa. Management ya tanesco walikua wanawajibika kisawasawa sio huu upuuzi wa kumkejili jpm january makamba anafanya.Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064