Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Picha lilianzia kwenye upungufu wa maji, mgao wa maji ukaingia, sasa tutasikia vyanzo vya maji vimekauka na kupeleka upungufu wa megawatts kadhaa, wakati huo mitambo ya gesi ni mibovu kwa kutokufanyiwa matengenezo.. Ghafla, serikali inasaini mkataba wa generator za kukodi[emoji3][emoji3][emoji3]
Mpaka hapo tutakuwa tumepigwa, wakati Wanaume wenyewe wanakula kuku kwa mrija.
Ninawaza lakini [emoji3][emoji3][emoji3]
Mpaka hapo tutakuwa tumepigwa, wakati Wanaume wenyewe wanakula kuku kwa mrija.
Ninawaza lakini [emoji3][emoji3][emoji3]