Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha picha liendelee....View attachment 2015284
Kumekucha
Kwani tanesco ni kampuni binafsi hadi mtu asihamishweJanuary, lakini wewe mwenyewe juzi tu umetishia kuwafukuza kazi kama umeme utaendelea kukatikakatika baada ya wiki mbili!! Kama unajua kuwa dawa sio kufukuza kawanini unawatishia wafanyakazzi kuwa utawafukuza? Be advised young man TO THINK BEFORE YOU LEAP!
Kwani tanesco ni kampuni binafsi hadi mtu asihamishwe
Waziri J. Makamba:Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duu picha inakuja nikiwa secondary unajiandaa na paper prep mara mji wote whaaaaa .siamini kama tunarudi huko
Lengo ni huduma, mambo ya ugavi ni ya kwenu na pia mlihitaji kuwa na back up pindi mnabadili mifumo iliyo chakaa, kukosekana kwa huduma kiuchumi na kijamii inaathiri sana TaifaHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Hii anayeweza kuamini ni mjinga kama mimi.Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Makamba kaongea utoko mtupuHuyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Uongo huuuUpumbavu mtupu, wakati wa Magufuri ndio tuliona lipea ya nguvu, Mpaka wakawa wanabadilisha nguzo kuondoa za miti na kuweka za zege,huyu alisubiri Magufuri afe ndio waanze malekebisho nacho hicho ni kichekesho,sema Makamba anataka kuzika mladi wa umeme wa Rufiji kisingizio tabia Nchi,ili waanze wa gesi ambapo kuna 10% huo uharibifu ambao umesubiri Magufuri kafa,na kutolewa Kalemani na kuwekwa yeye ndio wakaanza ukarabati ni uongo,akuna fundi au lnjinia wakuweza kutumia mitambo mibovu, wakati yeye anajua kwake ni liski kubwa na taifa kwa ujumla.Wizi ndio unaowasumbua
Kuna mahali umeme hauzimi wao wanafanyaje huko?Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.
View attachment 2015064
Sasa Kikwete kaingiaje kwenye kokwa ya embeWakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Wewe unaona upo uwezekano wa kufanya ukarabati bila kuzima umeme?Lengo ni huduma, mambo ya ugavi ni ya kwenu na pia mlihitaji kuwa na back up pindi mnabadili mifumo iliyo chakaa, kukosekana kwa huduma kiuchumi na kijamii inaathiri sana Taifa
Ukarabati wa aina gani unaoulizia?Wewe unaona upo uwezekano wa kufanya ukarabati bila kuzima umeme?
Muda mfupi ujao mambo yatakuwa sawaFact aiceee... Maana huu sasa umekuwa mgao rasmi