January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January, lakini wewe mwenyewe juzi tu umetishia kuwafukuza kazi kama umeme utaendelea kukatikakatika baada ya wiki mbili!! Kama unajua kuwa dawa sio kufukuza kawanini unawatishia wafanyakazzi kuwa utawafukuza? Be advised young man TO THINK BEFORE YOU LEAP!
Kwani tanesco ni kampuni binafsi hadi mtu asihamishwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halali watanzania kuvurugwa na kuhemkwa, sio kwa hali hii mweeeh. Na bado khaaaah
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Waziri J. Makamba:
Scheduled maintenance haikufanyika wakati wa awamu ya 5 kwa kumuogopa JPM ndiyo maana hakukuwa na mgao wa umeme. Mgao wa umeme uliopo sasa unatokana na scheduled maintenance inayofanyika.

Rais SSH
Mgao wa umeme unaoendelea sasa unatokana na upungufu wa maji.

"Kazi iendelee!"

*NAni MKELI Hapo❕❕❕❔❔❔❓❓❓
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Lengo ni huduma, mambo ya ugavi ni ya kwenu na pia mlihitaji kuwa na back up pindi mnabadili mifumo iliyo chakaa, kukosekana kwa huduma kiuchumi na kijamii inaathiri sana Taifa
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Hii anayeweza kuamini ni mjinga kama mimi.
Mwenye akili hawezi kuamini eti nguzo zilizooza ziliogopa kuanguka kwa ajili kufukuzwa

Eti nyaya ziluogopa, eti mitambo iliogopa,. Mbona hajawahi kitishia V8 isizime kwa kukosa mafuta ikatii?

Sisi wa Kazilampanda tumekuelewa vzr. Makofi kwako.

Bora utumie "mabadiliko ya tabia nchi" hii inaweza kukutoa
 
Umeme uwake uzalishaji uzidi serekali ipate mapato mitambo ikiharibika tutakuwa na hela tunanunua mipyaa
 
Tanesco wanaona Kabisa maji yanayoyoma kuisha kwenye mabwawa bado wamekaa hawachukui hatua za kutumia back up system ya gesi ikiwa ni pamoja na kukarabati Mitambo inayohitaji ukarabati.
Maana maji ya mabwawa hayapungui ndani ya siku moja

Hakuna coordination ndani ya Tanesco?

Sukuhisho ili shirika Liwe kiushindani apewe mbia mwenye uwezo wa uzalishaji umeme , makampuni makubwa watachangamkia maana wanajua biashara

Singida kuna upepo wa kutosha kuzalisha MW nyingi
 
Upumbavu mtupu, wakati wa Magufuri ndio tuliona lipea ya nguvu, Mpaka wakawa wanabadilisha nguzo kuondoa za miti na kuweka za zege,huyu alisubiri Magufuri afe ndio waanze malekebisho nacho hicho ni kichekesho,sema Makamba anataka kuzika mladi wa umeme wa Rufiji kisingizio tabia Nchi,ili waanze wa gesi ambapo kuna 10% huo uharibifu ambao umesubiri Magufuri kafa,na kutolewa Kalemani na kuwekwa yeye ndio wakaanza ukarabati ni uongo,akuna fundi au lnjinia wakuweza kutumia mitambo mibovu, wakati yeye anajua kwake ni liski kubwa na taifa kwa ujumla.Wizi ndio unaowasumbua
Uongo huuu
 
Wakati wa kikwetwe miaka yote ulikwa umeme nikukatika tuuu..maqmq yake walikuwa wanafanya repair..sasa kama wakati wa kikwetwe mda wote walikuwa wanafanya repair, je nikitu gani kimesababisha walalamike kuwa wakati wa jiwe hapakufanyiwa repair wakati wa kikwete maisha yote ilikuwa mgao wa umeme sabb ya repairs.?Kwa kuwa mfumo wa ugavi Tanzania ni sawa na sehemu zingine duniani, kwanini sehemu zingine umeme huwa haukatiki,je wao hawafanyi repairs?
Sasa Kikwete kaingiaje kwenye kokwa ya embe
 
Lengo ni huduma, mambo ya ugavi ni ya kwenu na pia mlihitaji kuwa na back up pindi mnabadili mifumo iliyo chakaa, kukosekana kwa huduma kiuchumi na kijamii inaathiri sana Taifa
Wewe unaona upo uwezekano wa kufanya ukarabati bila kuzima umeme?
 
Back
Top Bottom