January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Kwani tanesco ni kampuni binafsi hadi mtu asihamishwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halali watanzania kuvurugwa na kuhemkwa, sio kwa hali hii mweeeh. Na bado khaaaah
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Waziri J. Makamba:
Scheduled maintenance haikufanyika wakati wa awamu ya 5 kwa kumuogopa JPM ndiyo maana hakukuwa na mgao wa umeme. Mgao wa umeme uliopo sasa unatokana na scheduled maintenance inayofanyika.

Rais SSH
Mgao wa umeme unaoendelea sasa unatokana na upungufu wa maji.

"Kazi iendelee!"

*NAni MKELI Hapo❕❕❕❔❔❔❓❓❓
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Lengo ni huduma, mambo ya ugavi ni ya kwenu na pia mlihitaji kuwa na back up pindi mnabadili mifumo iliyo chakaa, kukosekana kwa huduma kiuchumi na kijamii inaathiri sana Taifa
 
Huyu Jamaa ni mkweli na hapendi unafiki, Nimtu anayeeleza ukweli hata kama unamgharimu chochote,Mungu akutangulie January kwakuwa unasema yaliyoyakweli.

View attachment 2015064
Hii anayeweza kuamini ni mjinga kama mimi.
Mwenye akili hawezi kuamini eti nguzo zilizooza ziliogopa kuanguka kwa ajili kufukuzwa

Eti nyaya ziluogopa, eti mitambo iliogopa,. Mbona hajawahi kitishia V8 isizime kwa kukosa mafuta ikatii?

Sisi wa Kazilampanda tumekuelewa vzr. Makofi kwako.

Bora utumie "mabadiliko ya tabia nchi" hii inaweza kukutoa
 
Umeme uwake uzalishaji uzidi serekali ipate mapato mitambo ikiharibika tutakuwa na hela tunanunua mipyaa
 
Tanesco wanaona Kabisa maji yanayoyoma kuisha kwenye mabwawa bado wamekaa hawachukui hatua za kutumia back up system ya gesi ikiwa ni pamoja na kukarabati Mitambo inayohitaji ukarabati.
Maana maji ya mabwawa hayapungui ndani ya siku moja

Hakuna coordination ndani ya Tanesco?

Sukuhisho ili shirika Liwe kiushindani apewe mbia mwenye uwezo wa uzalishaji umeme , makampuni makubwa watachangamkia maana wanajua biashara

Singida kuna upepo wa kutosha kuzalisha MW nyingi
 
Uongo huuu
 
Sasa Kikwete kaingiaje kwenye kokwa ya embe
 
Lengo ni huduma, mambo ya ugavi ni ya kwenu na pia mlihitaji kuwa na back up pindi mnabadili mifumo iliyo chakaa, kukosekana kwa huduma kiuchumi na kijamii inaathiri sana Taifa
Wewe unaona upo uwezekano wa kufanya ukarabati bila kuzima umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…