January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Ridiculous argument.

Ulaya wanakothamini maintenance wanakata umeme kufanya maintenance ?
 
Ridiculous argument.

Ulaya wanakothamini maintenance wanakata umeme kufanya maintenance ?
Una mbadala ndugu yangu njia za umeme ndio hizo vyanzo ndio hivyo. Naona unazungumzia vitu vya Ulaya. This is Africa Mr. TASO
 
Una mbadala ndugu yangu njia za umeme ndio hizo vyanzo ndio hivyo. Naona unazungumzia vitu vya Ulaya. This is Africa Mr. TASO
Pia wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.

Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Tanesco inashughukia masuala ya upatikanaji wa umeme kwa kutumia mbinu za uhandisi wa umeme. Shughuli za uendeshaji mitambo ya umeme zina vitu vinaitwa scheduled maintenance pia na repair kutokana na ama breakdown breakdown ya mitambo ama routine check ups/maintenance.

Maana haya yote uwekewa utaratibu/mpango/plan na hii plan huwa shared kwa wadau wote tukiwemo wateja. Mbona wakati huo tulikuwa tunataarifiwa hii plan kwa nini plan kwa sasa inafanywa "nyeti" za buibui!? yaani siri.???

Je. Kuna uwezekano sisi wateja tukaarifiwa ni maeneo gani ya mfumo wa uzalishaji na usambazaji wa umeme yaliyohathiriwa na upatikanaji wa umeme muda wote kipindi kilichopita!?

Ni msaada gani Tanesco wanahitaji ili kurekebisha maneo hayo na ni kwa muda gani watamaliza urekebishaji huo kama mleta mada alivyouliza!?

Karibu kwa majibu yenye pweinti kuntu.
 
Huyu Makamba anacjofanya ni kutimiza mkakati wake uliompeleka pale Tanesco ili akamilishe deal la Kikwete la kuiuza TANESCO.
Ndio maana hatulii na majuzi tu ametoka DUBAI Kutafuta wadau.na walifanya vikao kadhaa huko.
 
Wewe ni kapumbavu na unatetea upumbavu!

Lengo la uwepo wa tanesco ni kuhakikisha wanachi wanapata umeme.

Umekuja na porojo eti vifaa ghali, kwani wanagawa umeme bure? Hizo hela wanazopata kwanini wasinunue vifaa ili kuondoa tatizo? Eti wanalinda grid! [emoji23][emoji23]

Mnajifanyaga mna exposure kumbe mmejaza minyoo tu vichwani.

Huko kwenye nchi za wenzetu nako wanakata umeme kila mara ili kufanya repair?

Hii nchi, tangu viongozi hadi wanaoongozwa ni mazwazwa sana.
 
Wewe ni kapumbavu na unatetea upumbavu!

Lengo la uwepo wa tanesco ni kuhakikisha wanachi wanapata umeme.

Umekuja na porojo eti vifaa ghali, kwani wanagawa umeme bure? Hizo hela wanazopata kwanini wasinunue vifaa ili kuondoa tatizo? Eti wanalinda grid! [emoji23][emoji23]

Mnajifanyaga mna exposure kumbe mmejaza minyoo tu vichwani.

Huko kwenye nchi za wenzetu nako wanakata umeme kila mara ili kufanya repair?

Hii nchi, tangu viongozi hadi wanaoongozwa ni mazwazwa sana.
 
Enzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.

Kwa nini sasa hivi hawatoi notice?

Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
 
Mkuu hii kusema Kuna siku umeme ungekuja kukata nchi nzima ni kukisia tu.
Na hapo unahalalisha umeme kukatwa, kitu ambacho sio sahihi
Ndio maana makamba alipoingia alifanya kikao na Tanesco na kuwapa wiki mbili kumaliza tatizo la sivyo angewatimua.
Anyway, ngoja tuone
 
Hamna lugha nyingine zaidi ya kukuita punguani.

Yani leo umeme ukatike kutwa nzima, wiki ijayo tena sehemu ile ile unakatika na zoezi linaendelea kwa miaka na miaka toka enzi za jk alafu unakuja kutwambia ni maintenance.? Yamekuwa mavi hayo kwamba kila siku lazima uende chooni?

Kwa hiyo nchi zingine zenye umeme stable wao hawafanyi repair?
 
Wewe unadhani gari yako usipofanya service haitembei?Inatembea ila ni siku tu itakufa ...ndio Tanesco ilivyokua
Asante kwa bandiko lako. Naomba majibu ya mswali haya:


1. Je. Kuna uwezekano sisi wateja tukaarifiwa ni maeneo gani ya mfumo wa uzalishaji na usambazaji wa umeme yaliyohathiriwa na upatikanaji wa umeme muda wote kipindi kilichopita!?

2. Ni msaada gani Tanesco wanahitaji ili kurekebisha maneo hayo na ni kwa muda gani watamaliza urekebishaji huo kama mleta mada alivyouliza!?
 
Ndio upumbavu wako ulipo! Na unatoa facts za kijinga!

Tanesco hii haitakiwi kulia eti haina vifaa vya kufanyia repair.
Kwani anaetakiwa kuvinunua ni nani?

Nmecheka sana eti kimoja kinauzwa milioni 20, yani milioni 20 nayo ukaona ni hela? Kwa shirika la umma kama tanesco ambalo ni mboni ya nchi?

Hii nchi inafikia hatua watu kama kina Makamba na ccm wanajifanyia watakavyo sababu ya upumbavu wa wananchi. Ona sasa unamtetea makamba kwa ujinga kama huu eti ili kumkomoa marehemu?
 
Hao ni wale vijana wa marope wa mitandaoni. Yaani mfumo ulikuwa unasubiri awe waziri ndio uanze kuchoka?
Soon tutasikia tanesco wameingia mkataba wa kinyonyaji na makampuni uchwara ya vigogo kununua umeme
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Hilo siyo jibu la kisomi ni pumba tupu; kwenye power generation huwezi kukatia wateja umeme etu ukadai unafanya scheduled maintance. Ukishafungulia maji kwenye bwawa, zile turbines huwa zinazunguka mwaka mzima as long as maji yapo; kuzisimamisha maana yake ni kuziba maji yasipite, jambo ambalo ni gumu sana. Hata kama kweli utazifanyia maintanance, huwezi kuziba maji kwenye turbines zote, zitakuwapo zinazofanya kazi. Halafu transfromers kwenye substations pamoja na transmission lines zote hazina moving parts zinazohitaji maintance kwamba inabidi umeme ukatwe kusudi ziwekewe grisi au ubadilishe parts. Haya ni majibu rahisi rahisi ya kipuuzi sana kutolewa na waziri; ni ubabaishaji mtupu. Wakati mwingine kutotoa matamko ni busara zaidi kuliko kutoa matamko ya ubabaishaji kama haya.
 
Ndio maana kila siku nasema hii nchi ukipata nafasi ya kupiga, piga kisawasawa ondoka.
Kwamba ulileta impact gani kwenye nafasi yako hiyo haikuhusu.

Kama wanachi wenyewe tunaleta arguments za kimisukule kama hizi zako kuna nini tena?
 
Anaetakiwa kununua hivyo vifaa ili bibi yako kule kwa mtogole apate umeme ni nani wewe taahira?
 
Umetumia lugha kali kwangu, sikuona sababu ya kufanya hivyo. Ndio maana mwishoni nikasema ngoja tusubiri, kwa maana sikuwa na la ziada la kukueleza
 
Jinga kabisa wewe
 
Mkuu utetezi wako kwa Ndugu January hauna mantiki.

Yani Tanesco kushindwa kufanya maintenance sababu ya kukosa tools ni jambo la kipumbavu kupita maelezo.

Chukua mfano huu wa kaya 100,000 kukosa umeme kwa saa 12. Ambapo consumption ya umeme ni 3kwh, bei ya 1kwh ni 350 inclusive vat.

100,000x3x350 = 105,000,000

Kwahiyo kwa siku tu kwa kaya laki moja wanapoteza milioni 105. Kwa siku 10 ni bilioni 1.

Sasa angalia bei ya hivyo vifaa ulivyoandika hapo, compare na pesa inayopotea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…