Ridiculous argument.Bada naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme. Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme. Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
Ulaya wanakothamini maintenance wanakata umeme kufanya maintenance ?