January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Bada naona Approach ya Waziri Makamba ipo sawa sawia. Huwezi kufanya kazi kwa mashinikizo yasiyo na msingi. Alichokisema ilikuwa ndio anaingia Wizara hiyo sasa kapata data zote za mfumo wote wa ugawaji wa umeme ambao unahitaji marekebisho na kufanya hivyo lazima wakate umeme. Maintenance ndio chanzo kikubwa kwa mifumu mingi Africa kufa, watu wengi hatuna mazoea ya kutenga pesa kwa ajili ya maintenance. Anakuja waziri anasema usikate umeme akiogopa kutumbuliwa kumbe mfumo wote unaendelea kuchakaa na kuongeza upotevu wa umeme. Tusiwe wanazi tumwache afanyekazi yake. It too early to compare. Tuliona nguvu njingi zikitumika bila ya mafanikio ya kudumu na oungo mwingi na majigambo. Nchi hainendi kwa mihemko bali inaenda kwa kuwa na Strategic plan na kuzitekeleza.
Ridiculous argument.

Ulaya wanakothamini maintenance wanakata umeme kufanya maintenance ?
 
Ridiculous argument.

Ulaya wanakothamini maintenance wanakata umeme kufanya maintenance ?
Una mbadala ndugu yangu njia za umeme ndio hizo vyanzo ndio hivyo. Naona unazungumzia vitu vya Ulaya. This is Africa Mr. TASO
 
Una mbadala ndugu yangu njia za umeme ndio hizo vyanzo ndio hivyo. Naona unazungumzia vitu vya Ulaya. This is Africa Mr. TASO
Pia wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.

Lakini huu utendaji wa Makamba
ndio unaoshangiliwa sana na Chadema ila uzuri umeme ukikatika hauchagui chama wote biashara zinadoda.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Tanesco inashughukia masuala ya upatikanaji wa umeme kwa kutumia mbinu za uhandisi wa umeme. Shughuli za uendeshaji mitambo ya umeme zina vitu vinaitwa scheduled maintenance pia na repair kutokana na ama breakdown breakdown ya mitambo ama routine check ups/maintenance.

Maana haya yote uwekewa utaratibu/mpango/plan na hii plan huwa shared kwa wadau wote tukiwemo wateja. Mbona wakati huo tulikuwa tunataarifiwa hii plan kwa nini plan kwa sasa inafanywa "nyeti" za buibui!? yaani siri.???

Je. Kuna uwezekano sisi wateja tukaarifiwa ni maeneo gani ya mfumo wa uzalishaji na usambazaji wa umeme yaliyohathiriwa na upatikanaji wa umeme muda wote kipindi kilichopita!?

Ni msaada gani Tanesco wanahitaji ili kurekebisha maneo hayo na ni kwa muda gani watamaliza urekebishaji huo kama mleta mada alivyouliza!?

Karibu kwa majibu yenye pweinti kuntu.
 
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619

View attachment 1990620
Huyu Makamba anacjofanya ni kutimiza mkakati wake uliompeleka pale Tanesco ili akamilishe deal la Kikwete la kuiuza TANESCO.
Ndio maana hatulii na majuzi tu ametoka DUBAI Kutafuta wadau.na walifanya vikao kadhaa huko.
 
Unaongea mavi tu

Yaani tanesco iache kuweka pesa kwenye generation na kulinda grid kama grid eti aje atumie hela yooooote kusimamia emergency faults mitaani hasa mitaa masikini kama yako

Pumbavu nyie

Yaani mnadhani mna haki ya kila kitu bure..kwa umeme wa 1000 unaonunua wa Luku?

Ukiwa CEO wa Tanesco shirika lenye kupata hasara kila siku,lingekufia....yaani badala ya kuweka sawa generation halafu na transmission kwenye level ya "grid" eti aje akufate wewe mtaani huko mavini kusiko pesa yeyote?

With actual numbers 85% ya mapato ya Tanesco yanatoka viwandani

Hapo 15% ndio majumbani kwenye wanunuzi wa Luku nyie maiti...infact wananchi woteee wa majumbani ni hasara kwa Tanesco

Liveline Equipments kontena ndogo ya 20feet ni shilingi bilioni 6-8 sawa na USD 2.5mil minimum..Ili kila mtaa uwe na hivyo vifaa lets say kila mkoa wa Kitanesco uwe na kontena 5 ya hizi

Maana yake kwa mikoa nearly 40 (sio mikoa ya kiserikali maana naona ushaanza kupanua matako) ni jumla ya 100mil USD sawa na msaada anaotafuta Samia Suluhu kila siku Ulaya kwa mabeberu na bado hawampi

Unaongea mavi kabisa takataka nyie
Wewe ni kapumbavu na unatetea upumbavu!

Lengo la uwepo wa tanesco ni kuhakikisha wanachi wanapata umeme.

Umekuja na porojo eti vifaa ghali, kwani wanagawa umeme bure? Hizo hela wanazopata kwanini wasinunue vifaa ili kuondoa tatizo? Eti wanalinda grid! [emoji23][emoji23]

Mnajifanyaga mna exposure kumbe mmejaza minyoo tu vichwani.

Huko kwenye nchi za wenzetu nako wanakata umeme kila mara ili kufanya repair?

Hii nchi, tangu viongozi hadi wanaoongozwa ni mazwazwa sana.
 
Mkuu naona unashindwa tu kuelewa

Ni kwamba,Tanesco hua ina vipindi maalumu vya kufanya service mitambo yao kwa ratiba maalumu kwa mwaka

Hua haya matengenezo yalikua yakifanyika umeme lazima uzimwe siku nzima eneo fulani au mtaa fulani wafanye kazi,ikiisha wanarudisha

Isipoisha wanaenda wanarudi tena kesho.Wanaweza spend time hata wiki....wanafanyakazi asubuhi mpaka jioni wanarudisha...asubuhi wanarudi wanazima tena,nk.

Sasa Magufuli alipokuja,alisema hataki kuone pahala umeme unakatwa...

Im sure walimwambia tuna ratiba za kifundi ili mitambo isije kufa..nadhani kwavile kila mtu alikua anamuogopa hakuna aliesubutu kukata umeme...ratiba za maintenance zilipofika,watu wanakaa ofisini tu maana haitakiwi kukata umeme

Imekaa hivi kwa miaka mitano....Sasa hivi kafa,ratiba za maintenance lazima zirudi,ndio wanafanya

Angekuwepo Magufuli wasingefanya,na ambacho kingetoa ni siku moja nchi nzima ina collapse maana mifumo haijwahi fanyiwa maintenance miaka zaidi ya 5....ilikua inasubiria disaster tu na lingetokea nchi nzima

Ni kama wewe useme sifanyi gari yangu service sina muda wa kupoteza gereji...Utaenda nalo siku linakuzimikia....Ndio ilikua inamsubiri taahira wenu umeme ungeunguza nchi nzima

Sasa wanafanya ndio maana ni lazima wazime kwanza,ndio wafanye maitenance..Na kiporo kilikua kikubwa kwa zaidi ya miaka 5,ndio maana una heavy cut downs....

Matengenezo!

Ni kitu kidogo cha kuelewa tu...Ila wananchi mlivyo mataahira hua hamuelewi na kila kitu kinakua politicized.....
Enzi za Magufuli wakitaka kukata umeme walikuwa wanatoa notice ,wanakata saa ngapi, kwa nini na maeneo yapi.

Kwa nini sasa hivi hawatoi notice?

Mkuu hii kusema Kuna siku umeme ungekuja kukata nchi nzima ni kukisia tu.
Na hapo unahalalisha umeme kukatwa, kitu ambacho sio sahihi
Ndio maana makamba alipoingia alifanya kikao na Tanesco na kuwapa wiki mbili kumaliza tatizo la sivyo angewatimua.
Anyway, ngoja tuone
 
Mkuu

Waliacha hawakufanya..lakini umeme ulikua unapita vizuri...tatizo ni siku ilikua inasubiria ku collapse

Maintenance inafanywa kwa KUZIMA umeme,hivyo mitaa ni lazima ingekua haina umeme..Na magufuli alivyokua jinga alikua anakataa.....Hivyo watu walikaa ofisni hawafanyi chochote

Ni siku ilikua inasubiriwa nchi nzima ingelipuka tu...sababu ya kukataa maintenance

Wewe unadhani gari yako usipofanya service haitembei?Inatembea ila ni siku tu itakufa ...ndio Tanesco ilivyokua

Acheni huu utoto wa lile taahira..halina akili..halijui maana ya maintenance
Hamna lugha nyingine zaidi ya kukuita punguani.

Yani leo umeme ukatike kutwa nzima, wiki ijayo tena sehemu ile ile unakatika na zoezi linaendelea kwa miaka na miaka toka enzi za jk alafu unakuja kutwambia ni maintenance.? Yamekuwa mavi hayo kwamba kila siku lazima uende chooni?

Kwa hiyo nchi zingine zenye umeme stable wao hawafanyi repair?
 
Wewe unadhani gari yako usipofanya service haitembei?Inatembea ila ni siku tu itakufa ...ndio Tanesco ilivyokua
Asante kwa bandiko lako. Naomba majibu ya mswali haya:

1. Je. Kuna uwezekano sisi wateja tukaarifiwa ni maeneo gani ya mfumo wa uzalishaji na usambazaji wa umeme yaliyohathiriwa na upatikanaji wa umeme muda wote kipindi kilichopita!?

2. Ni msaada gani Tanesco wanahitaji ili kurekebisha maneo hayo na ni kwa muda gani watamaliza urekebishaji huo kama mleta mada alivyouliza!?
 
Mimi nimekupa FACTS wakati wewe bado nakuona upo kwenye fools paradise unajidanganya

Unakosea kusema ni Wananchi wapateumeme,sio wananchi,ni wananchi wenye uwezo!

Vifaa vya Liveline kwa sasa kama sijakosea Tanesco ina uwezo wa kununua kwa level ya Grid pekee yake

Ni ghali mno Tanesco haiwezi nunua mpaka kwa level za mitaani huko

Hivyo maitenance zozote level za mitaani ni lazima umeme UZIMWE!

Hivyo jielewe na ukubali..kama hutaki...maintenance haifanywi wanakaa ofisini tu...ila jiandae siku mtambo mzima mtaani kwenu ukilipuka mtoe hela mjichange mnunue mingine mipya

Ndio ilikua akili ya yule taahira
Ndio upumbavu wako ulipo! Na unatoa facts za kijinga!

Tanesco hii haitakiwi kulia eti haina vifaa vya kufanyia repair.
Kwani anaetakiwa kuvinunua ni nani?

Nmecheka sana eti kimoja kinauzwa milioni 20, yani milioni 20 nayo ukaona ni hela? Kwa shirika la umma kama tanesco ambalo ni mboni ya nchi?

Hii nchi inafikia hatua watu kama kina Makamba na ccm wanajifanyia watakavyo sababu ya upumbavu wa wananchi. Ona sasa unamtetea makamba kwa ujinga kama huu eti ili kumkomoa marehemu?
 
Hao ni wale vijana wa marope wa mitandaoni. Yaani mfumo ulikuwa unasubiri awe waziri ndio uanze kuchoka?
Soon tutasikia tanesco wameingia mkataba wa kinyonyaji na makampuni uchwara ya vigogo kununua umeme
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfumo mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Hilo siyo jibu la kisomi ni pumba tupu; kwenye power generation huwezi kukatia wateja umeme etu ukadai unafanya scheduled maintance. Ukishafungulia maji kwenye bwawa, zile turbines huwa zinazunguka mwaka mzima as long as maji yapo; kuzisimamisha maana yake ni kuziba maji yasipite, jambo ambalo ni gumu sana. Hata kama kweli utazifanyia maintanance, huwezi kuziba maji kwenye turbines zote, zitakuwapo zinazofanya kazi. Halafu transfromers kwenye substations pamoja na transmission lines zote hazina moving parts zinazohitaji maintance kwamba inabidi umeme ukatwe kusudi ziwekewe grisi au ubadilishe parts. Haya ni majibu rahisi rahisi ya kipuuzi sana kutolewa na waziri; ni ubabaishaji mtupu. Wakati mwingine kutotoa matamko ni busara zaidi kuliko kutoa matamko ya ubabaishaji kama haya.
 
Facts ni FACts mjomba

Haina hiyo hela...wape mkopo wanaosemea wa 1 Trilioni..Huna...serikali yako haina!

Mkuu,hivi unatumia akili kufikiri kweli

Yaani koti moja kwa ajili ya technician mmoja ni milioni 12...Kiatu pea moja kwa ajili yake ni milioni 22......Gloves ni milioni 13...Jacket suit ni milioni zaidi ya 40....Tool box ,etc...sasa una technicians zaidi ya 300,000 nchi nzima,piga hesabu wewe maiti

Kwa estimate zangu ili nchi nzima iwe na hivyo vifaa ili waweze kufanya maitenance bila kukata umeme unahitaji USD 100mil....Sawa na hela Samia anayopigia magoti wazungu wamuazime kwa ajili ya serikali yake tangu aingie madarakani mpaka leo na bado hawajampa

Punguza bangi
Ndio maana kila siku nasema hii nchi ukipata nafasi ya kupiga, piga kisawasawa ondoka.
Kwamba ulileta impact gani kwenye nafasi yako hiyo haikuhusu.

Kama wanachi wenyewe tunaleta arguments za kimisukule kama hizi zako kuna nini tena?
 
Wanafanya maintenance na umeme haukatiki sababu wana hivyo vifaa vya "Liveline Equipments"

Serikali zao ni kubwa na zina powerful budgets to spend in those materials and extra

Kwa TZ tu estimates zangu ni kama 100mil USD bajeti ya hivyo vifaa,hela hii hawana

Lazima mkubali wakate umeme,wafanye kazi wakimaliza warudishe..Ndio umasikini wenu collectively huo

Nani kawaambia muwe masikini kama nchi....Na kaumeme unakonunua ni 1000/=...

Heri mfe kabisa!
Anaetakiwa kununua hivyo vifaa ili bibi yako kule kwa mtogole apate umeme ni nani wewe taahira?
 
Unaota

Kila siku kila mwanasiasa anajiongeleaga mavi anayojisikia

Eti "siku moja umeme urudi".....

Kila siku wanaongea hivyo...na mitambo inalipuka kila siku na umeme unazima kila siku....hizo kauli zimesaidia umeme usikatike popote?

Magufuli yeye alifanya ujinga wa kusema "hakuna maitenance"...maana alikua anajenga bomu matakoni mwake..ilikua ni siku tu

Wewe hufanyi maintenance kwa miaka mitano..ulitegemea mitambo itakua imara miaka yote tu kama tuko mbinguni vile?

Yule punguani alikua anasubiria bomu lilipuke tu

Punguzeni utaaahira
Umetumia lugha kali kwangu, sikuona sababu ya kufanya hivyo. Ndio maana mwishoni nikasema ngoja tusubiri, kwa maana sikuwa na la ziada la kukueleza
 
Wanafanya maintenance na umeme haukatiki sababu wana hivyo vifaa vya "Liveline Equipments"

Serikali zao ni kubwa na zina powerful budgets to spend in those materials and extra

Kwa TZ tu estimates zangu ni kama 100mil USD bajeti ya hivyo vifaa,hela hii hawana

Lazima mkubali wakate umeme,wafanye kazi wakimaliza warudishe..Ndio umasikini wenu collectively huo

Nani kawaambia muwe masikini kama nchi....Na kaumeme unakonunua ni 1000/=...

Heri mfe kabisa!
Jinga kabisa wewe
 
Taahira mimi au wewe/

Unajua maana ya PM kwanza?

Hujui

Ni hivi bwana,ukitaka kufanya PM wakati umeme ni live unatakiwa uwe na vifaa vinavyoitwa "Live Line Equiments"...koti moja ni milioni 12...viatu vyake pair moja ni milioni 22.Na hapo bado gari la liveline,mikasi,accessories,gloves,ngazi zake,tool box zake,etc

Tanesco haina hivyo vifaa hivyo...vipo vichache wanatumia kwa line kubwa tu huko kwenye gridi za 132,220 na 400kV

Hakuna hivyo vifaa!

Huku chini wanafanya PM kwa kukata umeme tu maana hakuna namna!

Halafu unakuja hapa unaharisha kama magufuli,yaani wewe na yeye na vichaa wenzio sijui akili mnatupaga chooni

Ndio maana limekufa!
Mkuu utetezi wako kwa Ndugu January hauna mantiki.

Yani Tanesco kushindwa kufanya maintenance sababu ya kukosa tools ni jambo la kipumbavu kupita maelezo.

Chukua mfano huu wa kaya 100,000 kukosa umeme kwa saa 12. Ambapo consumption ya umeme ni 3kwh, bei ya 1kwh ni 350 inclusive vat.

100,000x3x350 = 105,000,000

Kwahiyo kwa siku tu kwa kaya laki moja wanapoteza milioni 105. Kwa siku 10 ni bilioni 1.

Sasa angalia bei ya hivyo vifaa ulivyoandika hapo, compare na pesa inayopotea....
 
Back
Top Bottom