January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Hawa ndo Aina ya watu wanaopenda vyeo ila uwezo wao zero kabisa.
Hii wizara siyo ya watu yeboyebo Kama Makamba,shauri yako Hangaya huyu mzee wa mapoozi atakuharibia mno.
Huku mgawo umeshakuwa Mara 2 kwa wiki,wakati haya Mambo tuliyaacha tangu enzi za JK.
Hayo majibu ndo matunda ya ziara ughaibuni.
 
Mbona tishio la kufukuzwa kazi liko palepale ni utaratibu ndio umebadilika awamu hii ni kutumia kuupiga mwingi na kalamu. Ama watumishi hawaogopi kufukuzwa kazi kwa kalamu?!

JPM hakuwa na hulka ya kuendekeza uchakafu hata kidogo, hapa ya wezekana ni changa la macho.
 
Fisadi tangu lini alikosa visingozio?
Tunajua mission yake ndo maana kaweka wafanyabiashara kwenye bodi watimize Nia yao ovu.

Namukumbusha tu Daniel Yona aliishia lupango baada ya awamu yao kuisha na yeye ajiandae,maana iko siku Hangaya atapita na watu wake.
 
Una mbadala ndugu yangu njia za umeme ndio hizo vyanzo ndio hivyo. Naona unazungumzia vitu vya Ulaya. This is Africa Mr. TASO
this is Afrika maana yake nini? Afrika hatutaki failure mindset kama hizo za kwako

kwa hiyo Ulaya wao wana mbadala ? Kila nyumba ina nyaya mbili za kupeleka umeme, moja ya kawaida moja ya ziada ????

speech yake ya kwanza akiwa TANESCO Makamba alisema tutakuwa na umeme mpaka tutauza nje, leo anasema umeme lazima ukatike, alikuwa anatudanganya?

January Makamba is not equipped to be minister of energy.

Medard Kalemani who was sacked in a purge of erstwhile Magufuli loyalists was infinitely more effective a minister.
 
Basi jiwe alikuwa bora,kama mashine na mabwawa yote yalimuogopa jiwe umeme ukawa wakutosha.Sasa kama ni hivyo kwanini waliwaondoa madirectots wote wa makao makuu ya umeme?
Si wameweka washikaji wao walifikiri hii wizara ni sawa na ile ya mazingira.
Wizara hii imekula vichwa vya mawaziri wengi akina Ngeleja,Msabaha,Yona, nk.huyu atabakia tu kwa sababu hakuna wakumugusa.
 
Huyu ni mwizi kama wezi wengine amewekwa hapo ili kuchangisha hela za kampeni 2025
 
Tanesco ina weza walipa wafanyakazi wa ufundi USIKU tangu lini?

Are you kidding?

Wewe masikini,nchi masikini,shirika masikini,na hizi demands zako unazoweka hapa ni as if unakaa The Hamptons
Kwani wanafanya kazi mchana bure?? Usiku mshahara ni ule ule plus asilimia ndogo ya unsocial hours!

Unajua impact ya ku katikati umeme kwenye uchumi wetu?
 
Huyu ni mwizi kama wezi wengine amewekwa hapo ili kuchangisha hela za kampeni 2025


Noeni meno muwewe tayari fedha hizo zikija ziliwe kama Wakikuyu wanavyo kula za Ruto hapo Kenya sasa bali kamwe msiuze uzalendo wenu.
 
Anadhani Watanzania wote ni Mazuzu anaweza kuja na uongo wake tukaukubali kirahisi rahisi.

 
Mkuu upo vizuri lakini inawezekana unasoma kwa kukurupuka na paniki!

Mfano Ulaya,
Kama mshahara wako ni euro 3000 kwa mwezi. Ukifanya kazi usiku au weekends, utalipwa hiyo 3000 plus unsocial hours. Kama ulifanya usiku masaa 8, utalipwa hayo 8 Kama ilivyo kwenye mkataba plus extra 2,3,4hrs…nyongeza ya kufanya kazi usiku.
Na kwenye payslip inaweka wazi; your contracted hours, unsocial hours, travel expenses, etc

Kama wewe umeajiriwa. Unakubaliana salary ambayo ni fixed plus marupuru
 
Majibu dha Majibu ya makamba ni dhaifu ,na yanadhibitisha kuwa hana uwezo wa kuingoza wizara .Anashindwa kujibu ,ideology anajibu mipasho.Eti awe Rais ,kwa kigezo kipi.?
 

Kwahio na mitambo nayo ilimuogopa Magufuli
 
Mkuu kwani ni lini Tanesco hawajawahi kusinzia!!

Utani pembeni, Umeme umekata…kwa nini ufanye kazi na live power. It doesn’t make sense!
 
Mkuu yule dhalimu mwendazake kwa sababu alikuwa na Phd FEKI ya kubangua Korosho alijiona anajua kila kitu kama hii ni kweli kwanini hao mafundi waliotishwa hawakuandika hata katika mitandao kwa majina FEKI ili kutufahamisha Watanzania yaliyokuwa yanajiri ndani ya TANESCO?

 
Kinachofuata pale Tanesco ni watanzania kupigwa na Tofali kichwani kama IPTL.

Muda utasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…