January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619

View attachment 1990620
Hawa ndo Aina ya watu wanaopenda vyeo ila uwezo wao zero kabisa.
Hii wizara siyo ya watu yeboyebo Kama Makamba,shauri yako Hangaya huyu mzee wa mapoozi atakuharibia mno.
Huku mgawo umeshakuwa Mara 2 kwa wiki,wakati haya Mambo tuliyaacha tangu enzi za JK.
Hayo majibu ndo matunda ya ziara ughaibuni.
 
Mbona tishio la kufukuzwa kazi liko palepale ni utaratibu ndio umebadilika awamu hii ni kutumia kuupiga mwingi na kalamu. Ama watumishi hawaogopi kufukuzwa kazi kwa kalamu?!

JPM hakuwa na hulka ya kuendekeza uchakafu hata kidogo, hapa ya wezekana ni changa la macho.
 
Yes ni kukimbia uwajibikaji.
Makamba ni Kama anatupia lawama waziri aliyepita kwa kutokatika umeme kisa walikuwa hawafanyi repair.
Ila kasahau hata wakati wa JK umeme ulikuwa ukikatika sana hadi kukaanza mgao wa umeme.
Lakini yote kwa yote Ina maana hiyo mifumo ilikuwa inamsubiri yeye ili iwe mibovu?
Fisadi tangu lini alikosa visingozio?
Tunajua mission yake ndo maana kaweka wafanyabiashara kwenye bodi watimize Nia yao ovu.

Namukumbusha tu Daniel Yona aliishia lupango baada ya awamu yao kuisha na yeye ajiandae,maana iko siku Hangaya atapita na watu wake.
 
Una mbadala ndugu yangu njia za umeme ndio hizo vyanzo ndio hivyo. Naona unazungumzia vitu vya Ulaya. This is Africa Mr. TASO
this is Afrika maana yake nini? Afrika hatutaki failure mindset kama hizo za kwako

kwa hiyo Ulaya wao wana mbadala ? Kila nyumba ina nyaya mbili za kupeleka umeme, moja ya kawaida moja ya ziada ????

speech yake ya kwanza akiwa TANESCO Makamba alisema tutakuwa na umeme mpaka tutauza nje, leo anasema umeme lazima ukatike, alikuwa anatudanganya?

January Makamba is not equipped to be minister of energy.

Medard Kalemani who was sacked in a purge of erstwhile Magufuli loyalists was infinitely more effective a minister.
 
Basi jiwe alikuwa bora,kama mashine na mabwawa yote yalimuogopa jiwe umeme ukawa wakutosha.Sasa kama ni hivyo kwanini waliwaondoa madirectots wote wa makao makuu ya umeme?
Si wameweka washikaji wao walifikiri hii wizara ni sawa na ile ya mazingira.
Wizara hii imekula vichwa vya mawaziri wengi akina Ngeleja,Msabaha,Yona, nk.huyu atabakia tu kwa sababu hakuna wakumugusa.
 
Huyu ni mwizi kama wezi wengine amewekwa hapo ili kuchangisha hela za kampeni 2025
 
Tanesco ina weza walipa wafanyakazi wa ufundi USIKU tangu lini?

Are you kidding?

Wewe masikini,nchi masikini,shirika masikini,na hizi demands zako unazoweka hapa ni as if unakaa The Hamptons
Kwani wanafanya kazi mchana bure?? Usiku mshahara ni ule ule plus asilimia ndogo ya unsocial hours!

Unajua impact ya ku katikati umeme kwenye uchumi wetu?
 
Huyu ni mwizi kama wezi wengine amewekwa hapo ili kuchangisha hela za kampeni 2025

Noeni meno muwewe tayari fedha hizo zikija ziliwe kama Wakikuyu wanavyo kula za Ruto hapo Kenya sasa bali kamwe msiuze uzalendo wenu.
 
Anadhani Watanzania wote ni Mazuzu anaweza kuja na uongo wake tukaukubali kirahisi rahisi.

Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619

View attachment 1990620
 
Nani amekuambia ni mshahara ule ule?

Hivi unaongea mapumba tu kama unadhani unavyoendesha kioski chako hapo Mbagala?

Ni uamuzi mbovu kupita maelezo kuwafanyisha kazi wafanyakazi usiku maana gharama zake ni mara 3 ya mchana,kimaslahi na kiusalama,nk

Unashika moto wa 220kV usiku ukiwa unasinzia?Hivi unadhani ni salama?

Hivi wewe ukiwa CEO wa Tanesco hilo shirika si litaenda chooni?

Eti kwa mshahara uleule na vimarupurupu etc?Mkuu,hebu kunywa maji kidogo!
Mkuu upo vizuri lakini inawezekana unasoma kwa kukurupuka na paniki!

Mfano Ulaya,
Kama mshahara wako ni euro 3000 kwa mwezi. Ukifanya kazi usiku au weekends, utalipwa hiyo 3000 plus unsocial hours. Kama ulifanya usiku masaa 8, utalipwa hayo 8 Kama ilivyo kwenye mkataba plus extra 2,3,4hrs…nyongeza ya kufanya kazi usiku.
Na kwenye payslip inaweka wazi; your contracted hours, unsocial hours, travel expenses, etc

Kama wewe umeajiriwa. Unakubaliana salary ambayo ni fixed plus marupuru
 
Majibu dha
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619

View attachment 1990620
Majibu ya makamba ni dhaifu ,na yanadhibitisha kuwa hana uwezo wa kuingoza wizara .Anashindwa kujibu ,ideology anajibu mipasho.Eti awe Rais ,kwa kigezo kipi.?
 
Mkuu naona unashindwa tu kuelewa

Ni kwamba,Tanesco hua ina vipindi maalumu vya kufanya service mitambo yao kwa ratiba maalumu kwa mwaka

Hua haya matengenezo yalikua yakifanyika umeme lazima uzimwe siku nzima eneo fulani au mtaa fulani wafanye kazi,ikiisha wanarudisha

Isipoisha wanaenda wanarudi tena kesho.Wanaweza spend time hata wiki....wanafanyakazi asubuhi mpaka jioni wanarudisha...asubuhi wanarudi wanazima tena,nk.

Sasa Magufuli alipokuja,alisema hataki kuone pahala umeme unakatwa...

Im sure walimwambia tuna ratiba za kifundi ili mitambo isije kufa..nadhani kwavile kila mtu alikua anamuogopa hakuna aliesubutu kukata umeme...ratiba za maintenance zilipofika,watu wanakaa ofisini tu maana haitakiwi kukata umeme

Imekaa hivi kwa miaka mitano....Sasa hivi kafa,ratiba za maintenance lazima zirudi,ndio wanafanya

Angekuwepo Magufuli wasingefanya,na ambacho kingetoa ni siku moja nchi nzima ina collapse maana mifumo haijwahi fanyiwa maintenance miaka zaidi ya 5....ilikua inasubiria disaster tu na lingetokea nchi nzima

Ni kama wewe useme sifanyi gari yangu service sina muda wa kupoteza gereji...Utaenda nalo siku linakuzimikia....Ndio ilikua inamsubiri taahira wenu umeme ungeunguza nchi nzima

Sasa wanafanya ndio maana ni lazima wazime kwanza,ndio wafanye maitenance..Na kiporo kilikua kikubwa kwa zaidi ya miaka 5,ndio maana una heavy cut downs....

Matengenezo!

Ni kitu kidogo cha kuelewa tu...Ila wananchi mlivyo mataahira hua hamuelewi na kila kitu kinakua politicized.....

Kwahio na mitambo nayo ilimuogopa Magufuli
 
Mkuu

Sheria zinasema,huwezi kufanya kazi za live power lines "usiku"!

Thats the working code!

Pewa bilioni moja,pewa shilingi moja....not allowed!

Utaua mafundi!

Kuna protocol na kazi maalumu allowed at night ,na zina strict procedures.....then what are

Mtu anausingizi eti unampeleka kwenye substation live ina moto msongo wa 500kV au 400kV,ulionea wapi?

Tatizo mnaongea these fantasy dreams na hamjui technicalities,mnaongea tu!

Niko US,huku ni even stricter than anywhere else
Mkuu kwani ni lini Tanesco hawajawahi kusinzia!!

Utani pembeni, Umeme umekata…kwa nini ufanye kazi na live power. It doesn’t make sense!
 
Mkuu yule dhalimu mwendazake kwa sababu alikuwa na Phd FEKI ya kubangua Korosho alijiona anajua kila kitu kama hii ni kweli kwanini hao mafundi waliotishwa hawakuandika hata katika mitandao kwa majina FEKI ili kutufahamisha Watanzania yaliyokuwa yanajiri ndani ya TANESCO?

Mimi wala sipo hapa kumtetea

Ni shenzi kama mashenzi menigne yeyote CCM..simfagilii kabisa

Nachoangalia hoja alizotoa ni valid

Power inazimwa sababu ya maintenance works,sababu ni lazima wafanye kwenye deadlines na sio livelines

Naelewa hii sababu naijua
 
Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini.

Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair.

Sasa hivi mfumo wa ugavi umechoka na ndio maana umeme unakatika Sana. Hivyo wanafanya rapair ili kuondoa huo uchakavu wa mfumo.

Bado hajasema utachukua muda gani hadi hizo repair kuisha na umeme kuacha kukatika.
Makamba ameonyesha kwamba kukatika umeme ni sawa kabisa na ni haki yetu, ndio maana anasema tulishangilia umeme ulipokuwa haukatiki huku mfumo ukiwa umechoka.

Lakini pia mheshimiwa unataka kusema huo mfumo kipindi chote cha jiwe mwendazake uliacha kuchoka ukawa unakusubiri wewe kuwa waziri ili uanze kuchoka?

Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuza.

Leo umesahau? Wiki mbili zimepita na sasa ni zaidi ya mwezi, bado tatizo lipo na wewe umekiri mwenyewe.

Mh. Makamba watu wanachotaka umeme uwepo muda wote ili shughuli zao ziende, hizo sababu zingine haziwahusu sana maana zipo ndani ya uwezo wenu.

View attachment 1990619

View attachment 1990620
Kinachofuata pale Tanesco ni watanzania kupigwa na Tofali kichwani kama IPTL.

Muda utasema.
 
Back
Top Bottom